8/30/2017

4. Kueneza kwa Injili ya Ufalme wa Mwenyezi Mungu Nchini China



Mwaka wa 1995, kazi ya kushuhudia kwa injili ya ufalme ya Mwenyezi Mungu ilianza rasmi China Bara. Kwa njia ya shukrani kwa Mungu na kwa upendo ambao ulikuwa wa kweli, tulishuhudia kwa kuoenekana na kazi ya Mwenyezi Mungu kwa ndugu wa kiume na kike katika madhehebu mbalimbali na makundi ya kidini. Hatukutarajia hata kidogo kukumbwa na upinzani na kukashifiwa kulikokithiri kutoka kwa viongozi wao. Tungeweza tu kuja mbele ya Mwenyezi Mungu kusali kwa ari, tukimsihi Mungu kufanya kazi binafsi. Kutoka 1997 na kuendelea, tulimwona Roho Mtakatifu akifanya kazi kwa kiwango kikubwa. Kulikuwa na ongezeko la haraka la washirika wa makanisa katika maeneo mbalimbali. Wakati huo huo, ishara nyingi na maajabu vilitokea, na watu wengi katika madhehebu mbalimbali na makundi ya kidini yakarudi kwa Mwenyezi Mungu kwa sababu ya kupokea ufunuo au kuona hizi ishara na maajabu. Kama Roho Mtakatifu hangekuwa amefanya kazi, mtu angefanya nini?

3. Asili na Maendeleo ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

Umeme wa Mashariki |  Asili na Maendeleo ya Kanisa la Mwenyezi Mungu
Kanisa la Mwenyezi Mungu Picha

    Katika Enzi ya Neema, Bwana Yesu aliwaahidi wafuasi wake, “Basi mimi nikienda na kuwaandalia mahali, nitakuja tena niwakaribishe kwangu; ili nilipo mimi, nanyi muwepo.” (Yohana 14:3) Kadhalika Alitabiri, “Kwa maana kama umeme utokavyo mashariki, na kumulika hata magharibi; hivyo ndivyo ujio wake Mwana wa Adamu utakavyokuwa.” (Mathayo 24:27) Katika siku za mwisho, kama ilivyoahidiwa na kutabiriwa na Yeye, Mungu tena Amekuwa mwili na kushukia Mashariki ya dunia—China—kufanya kazi ya kuhukumu, kuadibu, ushindi, na wokovu Akitumia neno, kwa msingi wa kazi ya ukombozi ya Bwana Yesu. Katika hili, unabii wa Biblia kwamba "Hukumu huanza na nyumba ya Mungu" na “Yeye aliye na sikio, na alisikie yale ambayo Roho aliyaambia makanisa.