Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Katika-Ukweli. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Katika-Ukweli. Onyesha machapisho yote

9/22/2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Ufafanuzi wa Tamko la Arubaini na Sita

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Ufafanuzi wa Tamko la Arubaini na Sita 

Miongoni mwa maneno haya yote, hakuna yasiyoweza kusahaulika zaidi kama yale ya leo. Awali maneno ya Mungu yalifichua hali za mwanadamu au siri za mbinguni, lakini tamko hili halifanani na yale ya wakati uliopita. Halidhihaki wala kufanya mzaha, lakini ni kitu kisichotarajiwa kabisa: Mungu aliketi chini na Akazungumza na watu kwa utulivu. Kusudi Lake ni gani? Unaona nini Mungu anaposema, “Leo, Nimeanza kazi mpya juu ya ulimwengu.

8/09/2018

Vitabu vya Shetani Vinaweza Kutulisha SumuπŸ“πŸ‘‰πŸ‘‡

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Ushuhuda

Peihe    Jiji la Xianning, Mkoa wa Hubei
Daima niliamini kwamba mimi na mume wangu tulipitia maisha yetu "na nyuso zetu kwa mchanga na migongo yetu kwa jua" kwa sababu hatukusoma vya kutosha tulipokuwa vijana, na kwa sababu hatukuwa na elimu. Ndiyo sababu niliamua kuwa bila kujali ni kwa ugumu gani au kiasi gani ningeteseka, ningewapeleka wanangu wa kiume na binti zangu shuleni ili waweze kufanikisha kitu fulani, na hawangelazimika kufuata nyayo zetu.

7/23/2018

Umeme wa Mashariki | Ufafanuzi wa Tamko la Arubaini na Mbili

Umeme wa Mashariki | Ufafanuzi wa Tamko la Arubaini na Mbili 

Mwenyezi Mungu alisema, Sijui kama watu wameona mabadiliko yoyote katika tamko la leo. Huenda watu wengine wameona kidogo, lakini hawathubutu kusema kwa kweli. Labda wengine hawajatambua chochote. Mbona kuna tofauti kubwa sana hivyo kati ya siku ya kumi na mbili na ya kumi na tano ya mwezi? Umetafakari hili? Maoni yako ni gani? Umeelewa chochote kutokana na matamko yote ya Mungu? Ni kazi gani kuu iliyofanywa kati ya tarehe mbili Aprili na tarehe kumi na tano Mei?

5/26/2018

64. Huku Ni Kuweka Ukweli Katika Vitendo

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Wakristo
Fan Xing    Mji wa Zhumadian, Mkoa wa Henan
Katika siku za nyuma, nilikuwa nimeunganishwa na dada mmoja kufanya kazi kwa wajibu fulani. Kwa sababu nilikuwa na majisifu na mwenye kiburi na sikutafuta ukwelinilikuwa na mawazo kiasi ya kabla kuhusu dada huyu ambayo niliweka moyoni mwangu daima na sikuzungumza waziwazi naye. Tulipotengana, sikuwa nimeingia katika ukweli wa uhusiano wa kufanya kazi wenye kuridhisha.

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Sura ya 62. Ili Kuwa Mwaminifu, Unapaswa Kujiweka Wazi kwa

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Sura ya 62. Ili Kuwa Mwaminifu, Unapaswa Kujiweka Wazi kwa

Mwenyezi Mungu alisema, Wengine Je, mna uzoefu wowote wa kuwa waaminifu? (Ni vigumu kuwamwaminifu). Na mbona ni vigumu? (Ninapotafakari juu yangu kila siku, nagundua kuwa najua vyema kujifanya, na kwamba nimesema mengi ambayo si sahihi. Wakati mwingine, maneneo yangu yatakuwa na hisia na motisha, wakati mwingine, nitaunda ujanja fulani ili kutimiza malengo yangu, nikisema ukweli nusu ambao haulingani na mambo ya hakika;

5/20/2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Mateso na Maafa Yalinisaidia Kukua




Kanisa la Mwenyezi Mungu | Mateso na Maafa Yalinisaidia Kukua 

Baituo Mji wa Dezhou, Mkoa wa Shandong
Kabla, nilijua tu kwamba hekima ya Mungu ilitumiwa kwa msingi wa njama za Shetani, kwamba Mungu ni Mungu mwenye hekima na kwamba Shetani milele atakuwa adui mshinde wa Mungu katika nadharia, lakini sikuwa na ufahamu au maarifa ya jambo hili kutegemeza uzoefu halisi. Baadaye, ni ndani tu ya mazingira yaliyopangwa na Mungu nilipopata uzoefu halisi wa kipengele hiki cha kweli.

4/04/2018

Umeme wa Mashariki | DibajiπŸ””⭐

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,Kanisa

Umeme wa Mashariki | Dibaji

~~~~~~~~~~       πŸŽ€πŸŽ€            ~~~~~~~~~~~         πŸŽ€πŸŽ€           ~~~~~~~~~~~
 πŸŒΊπŸŒΊπŸŒΊ**************     πŸŒΊπŸŒΊπŸŒΊ     **************     πŸŒΊπŸŒΊπŸŒΊ          
    Kila mmoja anapaswa kuchunguza maisha yake upya ya kumwamini Mungu ili kuona iwapo, katika kumtafuta Mungu, ameelewa kwa dhati, amefahamukwa dhati, na kuja kumjua Mungukwa dhati, iwapo anajua kweli ni mawazo gani Mungu Anayo kwa aina tofauti za binadamu, na iwapo kweli anaelewa kile ambacho Mungu Anafanya juu yake na jinsi Mungu Anaeleza kila tendo lake. Huyu Mungu, Ambaye yuko kando yako, Akiongoza mwelekeo wa kuendelea kwako, Akiamuru hatima yako, na kukupa mahitaji yako—ni kiasi gani ambacho, katika uchambuzi wako, unaelewa nani kiasi gani ambacho kweli unajua kumhusu Yeye?