Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Ufalme-wa-Mungu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Ufalme-wa-Mungu. Onyesha machapisho yote

7/29/2019

Umeme wa Mashariki | Sura ya 97

Umeme wa Mashariki | Sura ya 97


        Nitafanya kila mtu aone matendo Yangu ya ajabu na kusikia maneno Yangu ya hekima. Ni lazima iwe kila mtu na ni lazima iwe juu ya kila suala. Hii ni amri Yangu ya utawala na ni ghadhabu Yangu. Nitahusisha kila mtu na kila jambo ili watu wote kutoka mwisho mmoja wa ulimwengu hadi mwingine wataona kwa macho yao wenyewe, la sivyo Sitaacha kamwe. Ghadhabu Yangu imemwagwa kikamilifu na hakuna hata chembe imezuiwa.

6/25/2019

Ufalme wa Mungu Umetengenezwa Kati ya Wanadamu

I
Katika dunia na ulimwengu, hekima ya Mungu inaweza kuonekana.
Kati ya vitu vyote na watu wote, hekima Yake inapata matunda mazuri.
Kila kitu kinafanana na mazao ya ufalme wa Mungu.
Binadamu anapumzika chini ya mbingu ya Mungu kama kondoo katika malisho ya Mungu.
Mungu anaweza kupumzika Zayuni tena; mwanadamu anaweza kuishi chini ya uongozi wa Mungu.
Watu wanaweza yote katika mkono wa Mungu.

5/26/2019

“Ndoto Yangu ya Ufalme wa Kibinguni” | Swahili Gospel Movie Clip 3/5


“Ndoto Yangu ya Ufalme wa Kibinguni” – Ufalme wa Mbinguni u Wapi Hasa? | Swahili Gospel Movie Clip 3/5


Matamanio yetu makuu sisi tunaoamini katika Bwana ni kukaribisha kurudi kwa Bwana, kuletwa katika ufalme wa mbinguni, na kupokea ahadi na baraka za Mungu. Watu wengi wanaamini kwamba Bwana atakaporudi, tutainuliwa hewani kukutana na Bwana. Lakini katika Biblia, inasemekana kwamba Yerusalemu mpya itashuka kutoka mbinguni. "maskani ya Mungu yako pamoja na wanadamu," "falme za dunia zimekuwa falme za Bwana wetu, na za Kristo wake." Je, ufalme wa mbinguni uko angani au duniani? Bwana atawapelekaje watakatifu katika ufalme wa mbinguni atakaporudi?

Sikiliza zaidi: Kurudi kwa Bwana Yesu

4/08/2019

Matamshi ya Mungu | Sura ya 36

Mwenyezi Mungu wa kweli, Mfalme katika kiti cha enzi, hutawala ulimwengu mzima, Anakabiliana na mataifa yote na watu wote, kila kitu chini ya mbingu hung’aa kwa utukufu wa Mungu. Viumbe vyote hai katika miisho ya ulimwengu vitaona. Milima, mito, maziwa, ardhi, bahari na viumbe vyote viishivyo, katika nuru ya uso wa Mungu wa kweli wamefungua mapazia yao, kuhuishwa, kama kuamka kutoka kwa ndoto, kuchipuka kwa kuvunja uchafu! 

11/22/2018

Baraka Kuu Zaidi Ambayo Mungu Anaweka Juu Ya Mwanadamu

I
Kwa sababu ya kutimika kwa maneno ya Mungu, ufalme unapata umbo.
Kwa sababu ya mwanadamu kurudi kuwa kawaida, ufalme wa Mungu uko hapa.
Watu wa Mungu katika ufalme, mtapata tena uzima uliokusudiwa binadamu.

11/01/2018

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Ufafanuzi wa Tamko la Ishirini na Tisa

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Ufafanuzi wa Tamko la Ishirini na Tisa

Kati ya kazi inayofanywa na watu, baadhi yake hutekelezwa kwa maagizo ya moja kwa moja kutoka kwa Mungu, lakini kwa sehemu yake Mungu hatoi maagizo ya wazi, ikionyesha vya kutosha kwamba kile kinachofanywa na Mungu, leo, bado hakijafichuliwa kabisa—ambalo ni kusema, mengi bado yamefichwa na bado hayajajulikana na watu.

8/19/2018

Milele Kumsifu na Kumwimbia Mungu

Mungu anakuwa mwili, anaonekana nchini China,
Akionyesha ukweli kuhukumu na kuwatakasa wanadamu wote.
Ameleta wokovu Wake.
Watu kutoka mataifa yote wanakuja kusherehekea.
Milele wakisifu na kuimba jina Lake.
Hatujawahi kuota mbeleni kuona uso wa Mungu.
Hukumu na majaribio Anayotoa yanatatakasa na kutufanya wakamilifu.

7/15/2018

Mungu Mmoja Wa Kweli Ameonekana katika Mwili

Radi inanguruma, ikitingiza mbingu. Mungu mmoja wa kweli ameonekana!
Ni sauti ya Roho Mtakatifu mwenyewe na ushuhuda Wake,
kama sauti ya radi kutoka mbingu. Amina! Amina!
Tunathibitisha Mungu ameonekana katika mwili.
Mwokozi amerejea, juu ya wingu jeupe.

7/04/2018

Wokovu Unawezekana Tu Kupitia Imani kwa Mwenyezi Mungu

Sura ya 1 Mwenyezi Mungu Ndiye Mungu Mmoja wa Kweli Ambaye Aliumba Kila kitu

3. Wokovu Unawezekana Tu Kupitia Imani kwa Mwenyezi Mungu

Maneno Husika ya Mungu:
Yesu Alipokuja katika ulimwengu wa mwanadamu, Alileta Enzi ya Neema na Akatamatisha Enzi ya Sheria. Wakati wa siku za mwisho, Mungu kwa mara nyingine Alipata mwili, na Alipopata mwili mara hii, Alikamilisha Enzi ya Neema na Akaleta Enzi ya Ufalme. Wale wote wanaokubali kupata mwili kwa Mungu kwa mara ya pili wataongozwa mpaka Enzi ya Ufalme, na wataweza kukubali kibinafsi uongozi wa Mungu. Hata ingawa Yesu Alifanya kazi nyingi miongoni mwa wanadamu, Yeye Alimaliza tu ukombozi wa wanadamu wote na akawa sadaka ya dhambi ya mwanadamu, na Hakumwondolea mwanadamu tabia yake yote ya upotovu.

6/05/2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Ufalme Takatifu Umeonekana

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Ufalme Takatifu Umeonekana

Jua la haki hung’aa juu ya nchi zote, linarejesha viumbe vyote vilivyo hai.
Watu wa Mungu wanakusanyika kwa furaha, ili kusifu mafanikio Yake makubwa.
Nchi zote wanacheza, wanaimba, wanashangilia. Kila kitu chenye pumzi kinakuja kusifu,
sifa kwa ushindi na kuja kwa siku ya Mungu.

3/31/2018

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Njia… (7)📖😇


 Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,Mwenyezi Mungu

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Njia… (7)

~~~~~~~~~~~~~       🤲🤲       ~~~~~~~~~~~~~        📖📖       ~~~~~~~~~~~~
 *******************                          *******************
     Sote tunaweza kuona katika uzoefu wetu wa utendaji kwamba kuna nyakati nyingi ambazo Mungu binafsi ametufungulia njia ili tuwe tunakanyaga njia iliyo imara zaidi, ya kweli zaidi. Hii ni kwa sababu hii ndiyo njia ambayo Mungu alitufungulia tangu mwanzo wa wakati na imepitishwa kwa kizazi chetu baada ya makumi ya maelfu ya miaka. Kwa hiyo tunarithi watangulizi wetu ambao hawakutembea njia hii mpaka mwisho wake; sisi ndio tumechaguliwa na Mungu kutembea sehemu ya mwisho ya njia hii. Hivyo, imetayarishiwa hasa sisi, na haijalishi ikiwa tutapokea baraka au kupata taabu, hakuna mwingine anayeweza kutembea njia hii. Naongeza utambuzi Wangu kwa hili: Usifanye mipango ya kutorokea mahali pengine au kupata njia nyingine, ukitamani hadhi, au kuanzisha ufalme wako mwenyewe;