5/26/2019

“Ndoto Yangu ya Ufalme wa Kibinguni” | Swahili Gospel Movie Clip 3/5


“Ndoto Yangu ya Ufalme wa Kibinguni” – Ufalme wa Mbinguni u Wapi Hasa? | Swahili Gospel Movie Clip 3/5


Matamanio yetu makuu sisi tunaoamini katika Bwana ni kukaribisha kurudi kwa Bwana, kuletwa katika ufalme wa mbinguni, na kupokea ahadi na baraka za Mungu. Watu wengi wanaamini kwamba Bwana atakaporudi, tutainuliwa hewani kukutana na Bwana. Lakini katika Biblia, inasemekana kwamba Yerusalemu mpya itashuka kutoka mbinguni. "maskani ya Mungu yako pamoja na wanadamu," "falme za dunia zimekuwa falme za Bwana wetu, na za Kristo wake." Je, ufalme wa mbinguni uko angani au duniani? Bwana atawapelekaje watakatifu katika ufalme wa mbinguni atakaporudi?

Sikiliza zaidi: Kurudi kwa Bwana Yesu

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni