Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Yehova-Mungu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Yehova-Mungu. Onyesha machapisho yote

5/18/2019

Neno la Mungu | "Kazi katika Enzi ya Sheria" | How Did God Guide the Original Mankind?


       Mwenyezi Mungu anasema, "Kwenye Enzi ya Sheria, Yehova Aliweza kuweka wazi sheria nyingi kwa Musa kupitisha kwa wana wa Israeli waliomfuata kutoka Misri. … Yehova Alianzisha sheria Zake na taratibu ili huku Akiyaongoza maisha yao, watu wangeweza kumsikiliza na kuheshimu neno Lake na wala si kuasi neno Lake. Alitumia sheria hizi kuweza kudhibiti kizazi kipya cha binadamu kilichozaliwa, kuweka msingi wa kazi Yake ambayo ingefuata. Na kwa hivyo, sababu ya kazi ambayo Yehova Alifanya, enzi ya kwanza iliitwa Enzi ya Sheria."

      Yaliyopendekezwa: Kumjua Kazi ya Mungu.  Kuhusu Sisi: Asili ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

9/17/2018

Swahili Gospel Movie | “Jina la Mungu Limebadilika?!” (Clip 5/7)



Swahili Gospel Movie | “Jina la Mungu Limebadilika?!” Movie Clip: Ni Kukubali Jina Jipya la Mungu Ndiko Kuwa na Kasi Sawa na Nyayo za Mwanakondoo

      Wachungaji na wazee wa ulimwengu wa dinimara nyingi huhubiri kwa waumini kuwa Bwana Yesu alisulubishwa msalabani kwa ajili ya dhambi za kila mmoja na kuwa mwanadamu amekombolewa kutoka kwa dhambi. Wanahubiri kuwa, mtu anapomwacha Bwana Yesu na kuamini Mwenyezi Mungu, ni sawa na kumsaliti Bwana Yesu na kuasi imani.

5/25/2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Mungu Akitoa Sheria

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Injili

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Mungu Akitoa Sheria

Amri na sheria ambazo Yehova Mungu aliwapa Waisraeli hazijakuwa na athari kubwa sana kwa sheria ya binadamu tu, lakini pia zimetekeleza jukumu muhimu katika kuanzishwa na utengenezwaji wa ustaarabu wa kimaadili na taasisi za kidemokrasia katika jamii za binadamu.
Neno la Mwenyezi Mungu  | Halafu hebu tusome fahamu zifuatazo.
6. Ibada Mlimani
1) Sifa na Heri (Mat 5:3-12)

3/23/2018

Umeme wa Mashariki | Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee II📖📚

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,Wokovu

  Umeme wa Mashariki | Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee II

  (II) Ubinadamu Hupata Kibali cha Huruma na Uvumilivu wa Mungu Kupitia kwa Toba ya dhati

🌼🌼🌼🌼🌼*************🌻🌻🌻🌻*************🌺🌺🌺🌺🌺
      Kinachofuata ni hadithi ya biblia ya “Wokovu wa Mungu kwa Ninawi.”

    (Yona 1:1-2) Basi neno la BWANA lilimjia Yona mwana wa Amitai, likisema, Inuka, uende Ninawi, mji ule mkubwa, upige kelele juu yake; kwa maana uovu wao umepanda juu mbele zangu.
    (Yona 3) Neno la BWANA likamjia Yona mara ya pili, likisema, Inuka, uende Ninawi, mji ule mkubwa, uhubiri habari Ninayokuamuru.Basi Yona akainuka, akaenda Ninawi, kulingana na amri ya BWANA.

1/15/2018

002 Mungu Ameleta Utukufu Wake Mashariki

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,nyimbo

Wimbo wa Maneno ya MunguMungu Ameleta Utukufu Wake Mashariki 

I
Mungu aliipa Israeli utukufu Wake
kisha Akauhamisha mbali na pale,
na kuwaleta Waisraeli na kuwaleta watu wote Mashariki.
Mungu amewaelekeza wote kwenye mwanga
ili waweze kuungana tena na kuwa pamoja na mwanga,
wasilazimike kuutafuta tena, kuutafuta mwanga.

9/16/2017

Umeme wa Mashariki | Ukaribisheni Urejeaji wa Bwana Yesu | Sifa na Ibada "Mungu Ameleta Utukufu Wake Mashariki"


Mungu Ameleta Utukufu Wake Mashariki


Mungu aliipa Israeli utukufu Wake kisha Akauhamisha mbali na pale,

na kuwaleta Waisraeli na kuwaleta watu wote Mashariki.

Mungu amewaelekeza wote kwenye mwanga

ili waweze kuungana tena na kuwa pamoja na mwanga,

wasilazimike kuutafuta tena, kuutafuta mwanga.