Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Uzoefu-wa-Maisha. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Uzoefu-wa-Maisha. Onyesha machapisho yote

6/27/2019

Swahili Christian Video "Kutoroka Kizimba" (Crosstalk) | Christians Are Determined to Follow God


Swahili Christian Video "Kutoroka Kizimba" (Crosstalk) | Christians Are Determined to Follow God


         Mazungumzo chekeshi Kutoroka Kizimbani yanaeleza hadithi ya jinsi Mkristo Xiaolan aliteswa na kufungiwa nyumbani mwao kwa mwezi mmoja na baba yake afisa wa Chama cha Kikomunisti, pale ambapo hakuweza kushiriki katika maisha ya kanisa, na uzoefu wake wa kutoroka nyumbani na kukimbia. Familia iliyokuwa na furaha ilitenganishwa, binti akamwacha mamake, na babake akawekea kisasi cha ndani dhidi yake. Ni nani aliyekuwa mbunifu mkuu? Na ni nani aliyempatia Xiaolan imani na nguvu, na kumwelekeza kutoroka kizimba na kutembea kwa njia sahihi ya maisha? 

7/22/2018

Ni Nani Anayejua Moyo wa Kutunza wa Mungu?

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, upendo wa Mungu
Qingxin    Mji wa Zhengzhou, Mkoa wa Henan
Kuhusu kipengele cha ukweli cha "Mungu ni mwenye haki ", siku zote nilikuwa na ufahamu wa upuuzi kwa kiasi fulani. Nilidhani kuwa almradi mtu fulani hufichua upotovu katika kazi yake au hufanya makosa ambayo huiharibu kazi ya kanisa, mtu huyo atakabiliwa na rada, au kupoteza kazi yake au aathiriwe na adhabu. Hiyo ni haki ya Mungu.

3/03/2018

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Kazi na Kuingia (2)

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Kazi na Kuingia (2)

Kazi na kuingia kwenu ni duni kabisa; mwanadamu hafikirii kwamba kazi ni muhimu na hata yeye ni mzembe zaidi na kuingia. Mwanadamu haoni haya kuwa mafunzo mazuri anayopaswa kuingia ndani; kwa hivyo, katika uzoefu wake wa kiroho, kwa kweli yote ambayo mwanadamu huona ni njozi za kiajabu. Si mengi yanatakiwa kutoka kwenu kuhusu uzoefu wenu katika kazi, lakini, kama yule anayetakiwa kukamilishwa na Mungu, mnapaswa kujifunza kumfanyia Mungu kazi ili hivi punde muweze kuupendeza moyo wa Mungu.

12/05/2017

Umeme wa Mashariki | Wimbo wa Uzoefu wa Maisha Kwa Ajili ya Nani Mtu Aishi

Umeme wa Mashariki | Wimbo wa Uzoefu wa Maisha Kwa Ajili ya Nani Mtu Aishi

I

Haikuwa wazi ni kwa ajili ya nani mtu anapaswa kuishi.
Sasa nina jibu kwa hilo.
naishi tu kwa ajili yangu mwenyewe,
kutafuta hadhi tu na umaarufu.
Maombi kwa Mungu yaliyojaa maneno mema,
lakini nikishikilia njia zangu mwenyewe katika maisha halisi.
Imani juu ya msingi wa kesho na majaliwa,
sina ukweli au uhalisi.
Mila na sheria, zikifungia imani yangu;