Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Asante-Mungu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Asante-Mungu. Onyesha machapisho yote

8/17/2018

Huruma ya Mungu Inaniwezesha Kufufuliwa Tena

Niliikosea tabia ya Mungu, nikifuata hiyo nikaanguka katika giza.
Nikapata mateso maridhawa ya Shetani huko, jinsi nilivyokuwa mpweke na mnyonge!
Kuwa na dhamiri yenye hatia, nilihisi nikiwa ndani ya mateso.
Hapo tu ndipo nilijua kwamba kuwa na dhamiri yenye imani ni baraka.
Nimekosa fursa nyingi sana za kufanywa mkamilifu;

5/20/2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Mateso na Maafa Yalinisaidia Kukua




Kanisa la Mwenyezi Mungu | Mateso na Maafa Yalinisaidia Kukua 

Baituo Mji wa Dezhou, Mkoa wa Shandong
Kabla, nilijua tu kwamba hekima ya Mungu ilitumiwa kwa msingi wa njama za Shetani, kwamba Mungu ni Mungu mwenye hekima na kwamba Shetani milele atakuwa adui mshinde wa Mungu katika nadharia, lakini sikuwa na ufahamu au maarifa ya jambo hili kutegemeza uzoefu halisi. Baadaye, ni ndani tu ya mazingira yaliyopangwa na Mungu nilipopata uzoefu halisi wa kipengele hiki cha kweli.

5/14/2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | 2. Kuona Uhalisi Wangu Kwa Dhahiri

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,Wakristo

Kanisa la Mwenyezi Mungu | 2. Kuona Uhalisi Wangu Kwa Dhahiri

Xiaoxiao Jijini Xuzhou, Mkoani Jiangsu
Kwa sababu ya mahitaji ya kazi ya kanisa, nilihamishwa mpaka mahali pengine ili kutimiza wajibu wangu. Wakati huo, kazi ya injili mahali pale ilikuwa katika hali duni, na hali ya akina kaka na dada kwa kawaida haikuwa nzuri. Lakini kwa kuwa nilikuwa nimeguswa na Roho Mtakatifu, bado nilijitwisha kila kitu nilichoaminiwa nacho kwa matumaini kamili. Baada ya kukubali kuaminiwa, nilihisi uwajibikaji kamili, kupata nuru kamili, na hata nikafikiri kwamba nilikuwa na uamuzi kiasi fulani. Niliamini kuwa nilikuwa na uwezo na ningeweza kutekeleza kazi hii vizuri. Kwa kweli, wakati huo sikuwa na maarifa kabisa ya kazi ya Roho Mtakatifu au ya asili yangu mwenyewe. Nilikuwa naishi kabisa katika kujiridhisha na kujitamani.

3/23/2018

Kiini cha Ulipizaji Kisasi wa Mtu Binafsi

 Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,Wakristo

Umeme wa Mashariki | 11. Kiini cha Ulipizaji Kisasi wa Mtu Binafsi

Zhou Li Mji wa Xintai, Mkoa wa Shandong
~~~~~~~~~~~~✍️*************😌~~~~~~~~~~👇*************💖~~~~~~~~~~~~
➦➦➦➦➨➨➨➨➙➙➙➙⤑⤑⤑➜➜➜➜➨➨➨➨➨⬇⬇⬇⬇
    Wakati fulani kitambo, tulihitaji kuzichora wilaya katika eneo letu, na kwa msingi wa kanuni zetu kwa ajili ya uteuzi wa viongozi, kulikuwa na ndugu mmoja wa kiume aliyekuwa mtaradhia mzuri kiasi. Nilitayarisha kumpandisha cheo hadi kuwa kiongozi wa wilaya. Siku moja nilipokuwa nikizungumza na ndugu huyu, alitaja kwamba alihisi kuwa nilikuwa mwenye nguvu sana katika kazi yangu, mkali sana, na kwamba katika mkusanyiko pamoja nami hapakuwa na furaha nyingi …. Niliposikia jambo hili, nilihisi kuwa nilikuwa nimedunishwa. Nilihisi vibaya sana; mara moja nikakuza maoni fulani ya ndugu huyu, na sikukusudia tena kumpandisha cheo kuwa kiongozi wa wilaya.