Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Majaribu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Majaribu. Onyesha machapisho yote

2/18/2019

Ee Mungu, Moyo Wangu Tayari ni Wako

I
Ee Mungu, Maneno Yako yote ni ukweli. Ufunuo wa maneno Yako unaniwezesha kujiona vizuri zaidi.
Ingawa nilikuwa nikitangaza kwa sauti upendo wangu Kwako, nilijitolea Kwako, na kuacha vitu kwa ajili Yako, leo najua kwamba yote yalikuwa ili kupata baraka na taji.
Nahisi majuto sana moyoni mwangu, na ni jambo la kudharauliwa sana kufanya mikataba na Wewe.

10/11/2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Utajiri wa Maisha

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Wakristo

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Utajiri wa Maisha

Wang Jun Mkoa wa Shandong
Kwa miaka mingi tangu kukubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho, mke wangu na mimi tumepitia hili pamoja chini ya ukandamizaji wa joka kubwa jekundu. Katika wakati huu, ingawa nimekuwa na udhaifu, maumivu, na machozi, nahisi kwamba nimenufaika pakubwa kutoka kwa uzoefu wa ukandamizaji huu.

8/23/2018

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Ufafanuzi wa Tamko la Kumi na Sita

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Ufafanuzi wa Tamko la Kumi na Sita

Kwa watu, Mungu ni mkuu mno, mwenye utele mno, wa ajabu mno, Asiyeeleweka mno; machoni pao, maneno ya Mungu hupaa juu, na huonekana kama kazi bora sana ya ulimwengu. Lakini kwa vile watu wana kasoro nyingi sana, na akili zao ni za kawaida sana, na, zaidi ya hayo, kwa kuwa uwezo wao wa kukubali ni haba mno, bila kujali vile Mungu hunena maneno Yake kwa dhahiri, wanabaki palepale bila kutikisika, kana kwamba wana ugonjwa wa akili.

8/21/2018

Nataka Kumwimbia Mungu

Nimepata mengi kutoka kwa kazi ya Mungu ya ukweli.
Kutoka kwa maneno Yake, upotovu wa mwanadamu nimeona.
Kutoka kwa ukweli Wake, tabia ya Mungu, maana ya maisha nimejua.
Hukumu ya Mungu inafichua uasi wa mwanadamu, upotovu wa kishetani unaonekana.
Majaribu hufichua ukosefu wangu wa ukweli, nikiamguka mbele ya Mungu natubu.

5/03/2018

Majaribu ya Shetani | Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee V

 Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,Yesu
Mwenyezi Mungu alisema, Sasa, hebu tuchambue kirai hiki alichotumia Shetani: “amuru kwamba mawe haya yawe mikate” Kubadili mawe yawe mikate—hili linamaanisha chochote? Halina maana. Iwapo kuna chakula, mbona usile? Mbona ni muhimu kubadili mawe yawe mikate? Kuna maana hapa? (La.) Ingawa alikuwa amefunga wakati huo, kwa hakika Bwana Yesu alikuwa na chakula cha kula? Je, Alikuwa na chakula? (Alikuwa nacho.) Kwa hivyo, hapa, tunaona upuuzi wa matumizi ya Shetani ya kirai hiki. Kwa usaliti na uovu wake wote, tunaona upuuzi na ujinga wake, siyo? Shetani anafanya idadi fulani ya mambo. Unaona asili yake ovu na unaona akiharibu kazi ya Mungu.

11/29/2017

Kuuweka tu Ukweli Katika Matendo Ni Kuwa na Uhalisi


Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,ndugu na dada
watu wa Mungu ,kumwabudu Mungu

Kuuweka tu Ukweli Katika Matendo Ni Kuwa na Uhalisi

Mwenyezi Mungu alisema, Kuwa na uwezo wa kuyaeleza maneno ya Mungu kiwazi haimaanishi kwamba wewe unaumiliki uhalisi. Mambo si rahisi kama ulivyofikiria. Ikiwa unaumiliki uhalisi au la haina msingi kwa kile unachokisema, badala yake inatokana na kile unachoishi kwa kudhihirisha. Wakati maneno ya Mungu yanakuwa maisha yako na kujionyesha kwako kwa asili, hapo ndipo unapoumiliki uhalisi, hapo ndipo umeupata uelewa na kimo cha kweli.