Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Upendo-ya-Mungu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Upendo-ya-Mungu. Onyesha machapisho yote

2/18/2019

Ee Mungu, Moyo Wangu Tayari ni Wako

I
Ee Mungu, Maneno Yako yote ni ukweli. Ufunuo wa maneno Yako unaniwezesha kujiona vizuri zaidi.
Ingawa nilikuwa nikitangaza kwa sauti upendo wangu Kwako, nilijitolea Kwako, na kuacha vitu kwa ajili Yako, leo najua kwamba yote yalikuwa ili kupata baraka na taji.
Nahisi majuto sana moyoni mwangu, na ni jambo la kudharauliwa sana kufanya mikataba na Wewe.

6/06/2018

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 92. Njia ya Utendaji katika Kusuluhisha Ukaidi

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 92. Njia ya Utendaji katika Kusuluhisha Ukaidi


Ni vyema kupitia mazingira ya aina tofauti. Mungu hakupangii mazingira haya bila sababu. Yeye hakuongozi popote pale bila makusudi, bali Yeye huandaa mazingira fulani spesheli kwa kila mmoja—mazingira ya kifamilia, mazingira ya kimaisha, mazingira uliyokulia, na mazingira unatekeleza majukumu yako punde utakapo mwamini. Yeye hutayarisha hali au mazingira fulani spesheli kwako wewe kuzipitia.

5/16/2018

Upendo wa Kweli wa Mungu kwa Wanadamu

Mwenyezi Mungu alisema, Katika kukifahamu kiini cha Kristo, kipengele kimoja ni kuwa na uwezo wa kutofautisha kati ya kupata mwili Kwake na binadamu; aidha, watu ambao wanafahamu kiini cha Kristo wana uwezo zaidi kuwa hakika kuhusu Mungu kuwa mwili na uwezo zaidi wa kuamini kuwa Yeye kweli Yupo, kuwa Yeye si nabii, mtume, wala mwenye kufunua, na hasa si mtu mdogo aliyetumwa hapa na Mungu; bali Yeye ni mwenye mwili, Yeye ni Kristo, Naye ni Mungu Mwenyewe. Hata kama mwili ulikuwa sehemu miongoni mwa watu, Alikuwa mtu wa kawaida na kiini cha Uungu. Kiini cha Kristo kinaeleweka kwa njia ya kuelewa tabia ya Mungu, kupitia kazi Yake, na kwa njia ya kula na kunywa maneno Yake.

4/22/2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Kuhusu Maisha ya Petro

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Kuhusu Maisha ya Petro

    Mwenyezi Mungu alisema, Petro ni mfano ambao Mungu aliutambulisha kwa wanadamu, na yeye ni mtu mashuhuri anayejulikana vizuri. Kwa nini mtu mnyonge kama huyo aliwekwa mahala kama mfano na Mungu na amesifiwa na vizazi vya baadaye? Bila shaka, ni wazi kwamba hili halitenganishwi na maonyesho yake na azimio lake la upendo kwa Mungu. Kuhusu wapi ambapo moyo wa Petro wa upendo kwa Mungu ulionyeshwa na kile ambacho uzoefu wake wa maishani ulivyokuwa kwa kweli, lazima turudi kwa Enzi ya Neema kutazama tena desturi za wakati huo, ili kumwona Petro wa enzi hiyo.
Petro alizaliwa katika nyumba ya kawaida ya wakulima wa Kiyahudi. Wazazi wake waliikimu familia yote kwa kufanya ukulima, naye alikuwa mzaliwa wa kwanza kati ya watoto wote; alikuwa na ndugu wanne.

2/11/2018

Matamshi ya Mwenyezi Mungu, Jinsi ya Kuingia Ndani ya Hali ya Kawaida

Kanisa la Mwenyezi Mungu,ndugu na dada,Wakristo wa China

Matamshi ya Mwenyezi Mungu, Jinsi ya Kuingia Ndani ya Hali ya Kawaida

Watu wanapozidi kuwa wapokelevu wa maneno ya Mungu, ndivyo wanavyozidi kupata nuru na wanaendelea zaidi kufuatilia maarifa ya Mungu kwa njaa na kiu ya hali ya kuwa mwenye haki. Ni wale tu ambao wanapokea maneno ya Mungu wanaweza kuwa na matukio ya undani zaidi na yenye utajiri zaidi; ni wale tu ambao maisha yao yanakuwa ya kupendeza zaidi na zaidi. Kila mtu ambaye anafuatilia uzima lazima ashughulikie haya kana kwamba ni kazi yake, na ni sharti awe na hisia kuwa hawezi kuishi bila Mungu, na hakuna mafanikio yoyote bila Mungu, na kila kitu ni ubatili bila Mungu.

12/10/2017

Umeme wa Mashariki | Wimbo wa Uzoefu wa Maisha Mpendwa Wangu, Tafadhali Nisubiri

002 Mungu Ameleta Utukufu Wake Mashariki

Umeme wa Mashariki | Wimbo wa Uzoefu wa Maisha

Mpendwa Wangu, Tafadhali NisubiriI 

    Juu ya miti, nikiukwea mwezi wa amani. Kama mpendwa wangu, wa haki na mzuri. Ee mpendwa wangu, Uko wapi? Sasa mimi nina machozi. Je, Wanisikia nikilia? Wewe Ndiwe hunipa upendo. Wewe Ndiwe Unayenitunza. Wewe Ndiwe unayeniwaza daima, Wewe Ndiwe unayeyatunza maisha yangu. Mwezi, nyuma ya upande wa pili wa anga. Usimfanye mpendwa wangu asubiri muda mrefu sana. Tafadhali mwambie Yeye ninamkosa sana. Usisahau kuubeba pamoja nawe upendo wangu, pamoja nawe upendo wangu.