Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kuishi-Ukweli. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kuishi-Ukweli. Onyesha machapisho yote

5/24/2018

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Ufafanuzi wa Tamko la Thelathini na Moja

  Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Ufafanuzi wa Tamko la Thelathini na Moja

Tabia ya Mungu hujumuishwa katika matamko yote ya Mungu, lakini wazo kuu la maneno Yake ni kufichua uasi wa wanadamu wote na kufunua mambo kama kutotii, kuasi, utovu wa haki, udhalimu, na kutoweza kumpenda Mungu kweli. Ni kiasi kwamba, maneno ya Mungu yamefikia kiwango ambacho Yeye husema kwamba kila kinyweleo katika miili ya watu kina upingaji kwa Mungu, kwamba hata kapilari zao zina ukinzani kwa Mungu.

12/17/2017

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Wale Waliofanywa Kuwa Watimilifu Ndio Tu Wanaoweza Kuishi Maisha Yenye Maana

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,Mwenyezi Mungu
Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Wale Waliofanywa Kuwa Watimilifu Ndio Tu Wanaoweza Kuishi Maisha Yenye Maana

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Wale Waliofanywa Kuwa Watimilifu Ndio Tu Wanaoweza Kuishi Maisha Yenye Maana

Kwa kweli, kazi inayofanywa sasa ni kuwafanya watu kumtoroka Shetani, kutoroka babu zao wa kale. Hukumu zote kwa neno zinalenga kufichua tabia potovu ya ubinadamu na kuwawezesha watu kuelewa kiini cha maisha. Hukumu hizi zote zilizorudiwa zinapenyeza mioyo ya watu. Kila hukumu inaathiri kwa njia ya moja kwa moja hatima yao na inalenga kujeruhi mioyo yao ili waweze kuachilia yale mambo yote husika na hivyo basi kuja kujua maisha, kuujua ulimwengu huu mchafu, na pia kujua hekima ya Mungu na namna alivyo mwenye uweza na kujua mwanadamu huyu aliyepotoshwa na Shetani. Kwa kadri aina hii ya kuadibu na kuhukumu inapozidi, ndivyo moyo wa binadamu unavyoweza kujeruhiwa zaidi na ndivyo roho yake inavyoweza kuzinduliwa zaidi.