Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Nyimb-Za-Injili. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Nyimb-Za-Injili. Onyesha machapisho yote

9/30/2019

2019 Swahili Gospel Worship song | "Toa Akili na Mwili ili Kutimiza Agizo la Mungu" (Lyrics Video)



2019 Swahili Gospel Worship song | "Toa Akili na Mwili ili Kutimiza Agizo la Mungu" (Lyrics Video)


I

Kama washiriki wa jamii ya wanadamu,
kama wafuasi wa Kristo wa dhati,
ni wajibu wetu, ni jukumu letu
kutoa akili zetu na miili yetu
kwa kutimiza agizo la Mungu.
Kwa maana asili yetu yote ilitoka kwa Mungu,
na twaishi, kwa ajili ya ukuu Wake.
Kwa maana asili yetu, ilitoka kwa Mungu,
na twaishi, kwa ajili ya ukuu Wake.

6/22/2019

Muziki wa Injili "Umuhimu wa Mungu Kumsimamia Binadamu" | God Is Salvation to Man



Muziki wa Injili "Umuhimu wa Mungu Kumsimamia Binadamu" | God Is Salvation to Man 


Usimamizi wa Mungu ni ili kuwapata binadamu 
wanaomwabudu na kumtii Yeye.
Ingawa wamepotoshwa na Shetani, hawamwiti baba tena.
Wanajua ubaya wa Shetani, hivyo wanamkataa.
Wanakuja mbele ya Mungu, wanakubali adabu na hukumu.
Wanajua kile kilicho kibaya, na kile ambacho ni kitakatifu.
Na wanajua ukuu wa Mungu, na uovu wa Shetani.
Jamii kama hii ya binadamu haitamfanyia Shetani kazi wala kumwabudu tena.
Kwa sababu hawa ni watu ambao kwa kweli wametwaliwa na Mungu.
Hii ndiyo sababu Mungu anamsimamia mwanadamu.

8/14/2018

Nyimbo za Kanisa la Mwenyezi Mungu | Maisha Yetu Sio Bure🎻🎤🎵

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Msifuni Mwenyezi Mungu


🎻🎻🎻*********************🎤🎤🎤********************🎵🎵🎵🎵

😇😇😇😇~~~~~~~~~~~~~~💓💓💓💓💓

Maisha yetu sio bure. Maisha yetu sio bure.
I
Leo tunakutana na Mungu, tunapitia kazi Yake. Tumemjua Mungu katika mwili, wa utendaji na wa hakika. Tumeiona kazi Yake, nzuri na ya ajabu. Kila siku ya maisha yetu sio bure. Tunamshuhudia Kristo kama ukweli na uzima! Kufahamu na kukumbatia fumbo hili. Nyayo zetu ziko katika njia ng’avu zaidi ya hadi katika uzima. Hatutafuti tena, yote yako wazi kwetu. Mungu, tutakupenda Wewe milele bila majuto. Tumepata ukweli, uzima wa milele tutapata. Maisha yetu sio bure, sio bure. Maisha yetu sio bure. Maisha yetu sio bure.

8/06/2018

Je, Utampa Mungu Upendo Ulio Moyoni Mwako?

Kama unamwamini Mungu lakini huna kusudi,
basi maisha yako yatakuwa bure.
Na wakati utakapofika wa maisha kufika mwisho,
utakuwa tu na anga samawati na nchi yenye vumbi ya kutegemea.
Je, uko tayari kumpa Yeye upendo wako?
Je, uko tayari kuufanya msingi wa kuwepo kwako, kuwepo kwako?

7/26/2018

Nitalipa Upendo Wa Mungu

Nahisi furaha sana kumfuata Mungu wa matendo.
Sikufikiria kamwe kuuona uso wa Mungu.
Ni neema kubwa sana kupokea hukumu ya Mungu.
Lazima tuujali moyo Wake.
Katika uzoefu wa kazi ya Mungu, nimefurahia upendo Wake.
Kumwona Mungu akiteseka sana kwa ajili yetu,
nagundua kuwa mwanadamu amepotoshwa sana na Shetani.

7/11/2018

2018 Best African Worship Song "Miaka Elfu Mbili ya Kungoja" | Karibu Kurudi kwa Bwana Yesu



Kwamba Mungu amekuwa mwili 
hutikisa ulimwengu wa kidini,
inavuruga utaratibu wa kidini,
na inakoroga roho za wale 
wanaongoja kuonekana kwa Mungu.
Nani asiyeshangazwa na haya?
Ni nani asiye na hamu ya kumwona Mungu?
Mungu ameishi kwa miaka mingi kati ya binadamu, 
lakini binadamu hafahamu.

12/10/2017

Umeme wa Mashariki | Wimbo wa Uzoefu wa Maisha Mpendwa Wangu, Tafadhali Nisubiri

002 Mungu Ameleta Utukufu Wake Mashariki

Umeme wa Mashariki | Wimbo wa Uzoefu wa Maisha

Mpendwa Wangu, Tafadhali NisubiriI 

    Juu ya miti, nikiukwea mwezi wa amani. Kama mpendwa wangu, wa haki na mzuri. Ee mpendwa wangu, Uko wapi? Sasa mimi nina machozi. Je, Wanisikia nikilia? Wewe Ndiwe hunipa upendo. Wewe Ndiwe Unayenitunza. Wewe Ndiwe unayeniwaza daima, Wewe Ndiwe unayeyatunza maisha yangu. Mwezi, nyuma ya upande wa pili wa anga. Usimfanye mpendwa wangu asubiri muda mrefu sana. Tafadhali mwambie Yeye ninamkosa sana. Usisahau kuubeba pamoja nawe upendo wangu, pamoja nawe upendo wangu.