Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kiinjili. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kiinjili. Onyesha machapisho yote

1/19/2019

Nyimbo za injili | Kazi ya Mungu Inaendelea Kuboreshwa

Nyimbo za injili | Kazi ya Mungu Inaendelea Kuboreshwa

I
Kazi ya Mungu inaendelea kuwa bora;
ingawa kusudi linabaki bila kubadilika,
mbinu ya kazi Yake inabadilika kila wakati,
na hivyo pia wale wanaomfuata.
Kadiri ambavyo Mungu anafanya kazi zaidi,
ndivyo mwanadamu anavyojua zaidi, anavyomjua kikamilifu,
ndivyo tabia ya mwanadamu inavyobadilika zaidi
pamoja na kazi Yake ifaavyo.

6/02/2018

Usitafute Mbinu Mpya Unapomtumikia Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Wakristo
Heyi   Mji wa Zhuanghe, Mkoa wa Liaoning
Nilikuwa nimepandishwa cheo tu kuchukua jukumu la kiongozi wa kanisa. Lakini baada ya kipindi cha kazi ngumu, sio tu kuwa kazi ya kiinjili ilikuwa bila uhai kiasi, lakini ndugu zangu wa kiume na wa kike katika timu ya kiinjili walikuwa pia wakiishi katika hali hasi na ya udhaifu. Nikiwa nimekabiliwa na hali hii, sikuweza tena kudhibiti hisia zangu. Ni vipi tena ningeweza kuiamsha kazi ya kiinjili?