Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kumridhisha-Mungu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kumridhisha-Mungu. Onyesha machapisho yote

6/24/2019

Maonyesho ya Mungu | "Ni Wale tu Wanaomjua Mungu na Kazi Yake Ndio Wanaoweza Kumridhisha Mungu"


         Mwenyezi Mungu anasema, "Kuamini katika Mungu na kutafuta maarifa ya Mungu si jambo rahisi. Hayawezi kupatikana kwa kukusanyika pamoja na kusikiliza mahubiri, na huwezi kukamilishwa kwa kupenda tu. Lazima upitie uzoefu, na ujue, na kuongozwa na kanuni katika matendo yako, na kupata kazi za Roho Mtakatifu. Utakapopitia katika uzoefu, utakuwa na uwezo wa kutofautisha mambo mengi—utakuwa na uwezo wa kutofautisha kati ya jema na baya, kati ya haki na uovu, kati ya kile ambacho ni cha mwili na damu na kile ambacho ni cha kweli. Unapaswa kuwa na uwezo wa kutofautisha mambo haya yote, na kwa kufanya hivyo, haijalishi ni mazingira gani, hutapotea kamwe.

4/27/2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | 9. Katikati ya Maafa Niliona Ulinzi wa Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu | 9. Katikati ya Maafa Niliona Ulinzi wa Mungu

Zhang Min, Beijing
Agosti 6, Mwaka wa 2012
Mnamo Julai 21, mwaka wa 2012, mvua ilianza kunyesha sana asubuhi. Kufikia wakati wa adhuhuri wakati nilipaswa kwenda kwa mkutano, niliona mvua ilikuwa nzito sana kiasi kwamba sikutaka kwenda. Lakini ulikuwa mara moja tu kwa wiki, kama singeenda singekuwa na njia yoyote ya kufanya kazi yangu ya kanisa. Chochote kilichokuwako kikiendelea nje, bado ilinipasa nishiriki nao. Nilipofikiria hayo, niliharakisha kwenda kwa mkutano. Baada ya saa kumi alasiri hiyo, yule ndugu wa kiume wa mahali pa kukutana alikimbia akarudi nyumbani akisema: "Bado mnafanya mkutano, endeni nyumbani, kuna maji mengi yanayoteremka pale." Nilikwenda na kuangalia na kulikuwa na maji mengi sana yaliyokuwa yakiteremka, mto huo ulikuwa umefurika na ukipanda juu sana.

4/17/2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Utendaji (3)

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Utendaji (3)

Lazima muwe na uwezo wa kuishi kwa kujitegemea, kuweza kula na kunywa maneno ya Mungu ninyi wenyewe, kupitia maneno ya Mungu ninyi wenyewe, na kuishi maisha ya kiroho ya kawaida bila uongozi wa wengine; lazima muweze kuyategemea maneno ya Mungu ya leo ili kuishi, kuingia katika uzoefu wa kweli, na kuona kwa hakika. Ni wakati huo tu ndipo mtaweza kusimama imara. Leo, watu wengi hawaelewi kikamilifu majonzi na majaribio ya siku za usoni. Katika siku za usoni, watu wengine watapitia majonzi, na wengine watapitia adhabu. Adhabu hii itakuwa kali zaidi; itakuwa ni kuwasili kwa ukweli. Leo, yote unayopitia, kufanya, na kuonyesha yanaweka msingi wa majaribio ya siku za usoni, na kwa kiwango cha chini mno, lazima uweze kuishi kwa kujitegemea.

4/10/2018

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | (III) Aina Tano za Watu

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | (III) Aina Tano za Watu

    Kwa sasa, Nitaacha ushirika wetu kuhusu tabia ya haki ya Mungu umalizikie hapo. Kinachofuata Nitaainisha wafuasi wa Mungu katika kategoria mbalimbali, kulingana na ufahamu wao wa Mungu na ufahamu wao na kile wamepitia kuhusiana na tabia ya haki Yake, ili muweze kujua awamu ambayo kwa sasa mnapatikana ndani pamoja na kimo chenu cha sasa. Kuhusiana na maarifa yao ya Mungu na ufahamu wao wa tabia Yake ya haki, awamu na kimo tofauti ambavyo watu huwa navyo vinaweza kugawanywa katika aina tano. Mada hii imeelezewa kwa msingi wa kumjua Mungu wa kipekee na tabia Yake ya haki; kwa hivyo, unaposoma maudhui yafuatayo, unafaa kujaribu kwa makini kuchambua ni kiwango kipi haswa cha ufahamu na maarifa ulichonacho kuhusiana na upekee wa Mungu na tabia Yake ya haki, na kisha utumie hayo kujua ni awamu gani ambayo kwa kweli unapatikana ndani, kimo chako ni kikubwa vipi kwa kweli, na wewe ni aina gani ya mtu kwa kweli.

3/20/2018

🧡🖼️🙂Kanisa la Mwenyezi Mungu | Je, kweli wanadamu wana uamuzi juu ya hatima yao?

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,Injili

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Je, kweli wanadamu wana uamuzi juu ya hatima yao?

    Sisi hufikiri kwamba tunaweza kujenga nyumba nzuri kwa mikono yetu wenyewe, lakini kwa kweli sisi hudhibiti jaala yetu? Wakati maafa yanapofika, sisi ni wadogo sana, wasiojiweza na wasio na hakika…. Ni wakati kama huo tu tunapohisi udhaifu na thamani ya maisha …
👀👀↓↓↓~~~~~~~~~~~~~~~↓↓↓👂👂
~~~~~~~~~~~~~~~~~    👂               😉            💚          💚     ~~~~~~~~~~~~~~~~~
~~~~~~~~~~~~~~~

8. Mungu Aliilinda Familia Yetu Wakati wa Maafa


Wang Lan, Beijing
Agosti 6, Mwaka wa 2012

    Mnamo Julai 21, mwaka wa 2012, mafuriko makubwa zaidi tangu miaka sitini yalipitia kijijini mwetu kwa nguvu mno. Maafa yalianguka kutoka mbinguni, maji ya mafuriko yalichanganya matope na mawe na kuharibu kijiji chote.

1/21/2018

Kumpenda Mungu Tu Ndiko Kumwamini Mungu Kweli

 Mwenyezi Mungu ,Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki
Matamshi ya Mwenyezi MunguMnapotaka kumpenda na kumjua Mungu leo, kwa upande mmoja ni lazima mstahimili mateso, usafishaji, na kwa ule upande mwingine, ni lazima mgharamike. Hakuna funzo lililo kubwa kuliko lile la kumpenda Mungu, na inaweza kusemwa kuwa funzo ambalo watu hujifunza katika maisha yao yote ya imani ni jinsi ya kumpenda Mungu. Hii ni kusema, kama unamwamini Mungu ni lazima umpende Mungu. Ikiwa unamwamini tu Mungu lakini humpendi, hujapata ufahamu wa Mungu, na hujawahi kumpenda Mungu kwa upendo wa kweli utokao moyoni mwako, basi imani yako kwa Mungu ni bure; kama katika imani yako kwa Mungu humpendi Mungu, basi unaishi bure, na maisha yako yote ndiyo ya duni zaidi kwa maisha yote.

10/15/2017

Sura ya 59. Namna ya Kumridhisha Mungu katikati ya Majaribu

Umeme wa Mashariki ,Kanisa la Mwenyezi Mungu,Maneno ya  Mwenyezi Mungu
Umeme wa Mashariki | Sura ya 59. Namna ya Kumridhisha Mungu katikati ya Majaribu

Ninaibua maswali machache kwa tafakari yenu: Tangu mara ya mwisho tuliposema kwamba kutakuwa na miaka saba mingine ya majaribu makubwa, iwe ni kwa dhiki au majanga, je, mmegundua kusudi la Mungu kupitia kwa hayo? Ni asili gani ya binadamu mnaweza kuona katika mijibizo na mitazamo ya watu kwa miaka hii saba ya majaribu? Hili litachanganuliwa vipi? Fikirieni hilo. Ninazungumzia asili ya binadamu katika kila ushirika, kufikia chanzo, kuchanganua asili ya binadamu, na kuchanganua kiini. Ni juu yenu basi kuwasiliana ufahamu wenu kuhusu hizi mada.
Mnapaswa kuelewa kusudi la Mungu na ni lazima muijue asili ya binadamu kupitia hii miaka saba ya majaribu. Kwa hakika, kila sentensi ya Mungu ina kusudi Lake, ambamo mmefichwa ukweli. Bila kujali ni suala gani linafanyiwa ushirika, au ni ukweli gani unaoenyeshwa, ndani yake mna njia ambayo watu wanapaswa kupitia, matakwa ya Mungu kwa watu, na kusudi la Mungu kwa wanaomtafuta.

9/06/2017

Mataifa huabudu miungu halisi-ya muziki

Umeme wa Mashariki | Mataifa huabudu miungu halisi-ya muziki

    Wakati huu, Mungu haji kufanya kazi kwa mwili wa kiroho ila kwa ile kawaida sana. Sio tu mwili wa kupata mwili kwa Mungu kwa mara ya pili, lakini pia mwili ambao Mungu anarudia. ... Mwili huu usio na umuhimu ni mfano halisi wa maneno yote ya kweli kutoka kwa Mungu, ambao hufanya kazi ya Mungu siku za mwisho, na maonyesho ya tabia nzima ya Mungu kwa mwanadamu kuja kujua. 
 kutoka kwa Neno Laonekana Katika Mwili
  
 Je, hukutamani sana kumwona Mungu aliye mbinguni? Je, hukutamani sana kumwelewa Mungu aliye mbinguni? Je, hukutamani sana kuona hatima ya mwanadamu? Atakueleza hizi siri zote ambazo hazijaelezwa, na hata Atakuelezea kuhusu ukweli usioelewa. Yeye ndiye lango la kuingia katika ufalme, na kiongozi wako katika enzi mpya. 
                                                                       kutoka kwa Neno Laonekana Katika Mwili