Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kazi-ya-Mwenyezi-Mungu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kazi-ya-Mwenyezi-Mungu. Onyesha machapisho yote

6/07/2019

“Kupita Katika Mtego” – Jinsi ya Kutambua Kiini cha Mafarisayo wa Kidini | Clip 1


“Kupita Katika Mtego” – Jinsi ya Kutambua Kiini cha Mafarisayo wa Kidini | Filamu za Injili  (Movie Clip 1/7)


      Wachungaji na wazee wa ulimwengu wa dini wote ni watu wanaomtumikia Mungu katika makanisa. Wao mara nyingi wanaisoma Biblia na kutoa mahubiri kwa waumini, wawawaombea na kuwaonyesha huruma, lakini kwa nini tunasema wao ni Mafarisayo wa uongo? Hasa kuhusiana na kuchukilia kwao kurudi kwa Bwana, wao huwatafuti au kuchunguza kitu chochote, lakini kinyume chake wanakataa na kuhukumu kazi ya Mwenyezi Mungu. Kwa nini hasa ni hivi?

     Sikiliza zaidi: Kurudi kwa Yesu mara ya pili

5/20/2019

Swahili Christian Skit | "Polisi Waenda kwa Ziara ya Mwaka Mpya" (Kichekesho)


Zheng Xinming, mwanamume mzee wa karibu miaka sabini, ni Mkristo wa dhati. Kwa sababu ya imani yake katika Bwana, aliwekwa kizuizini na kufungwa gerezani, na kuhukumiwa miaka nane. Alipoachiliwa, bado alikuwa ameorodheshwa na Polisi wa Kikomunisti wa China kama mlengwa wa ufuatiliaji wa kuzingatiwa. Hasa, baada ya mzee huyo kukubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho, polisi walikuja karibu kila siku kumtisha, kumuogofya na kumsumbua. Hakukuwa na njia ya Zheng Xinming kusoma neno la Mungu nyumbani kwa kawaida, na hata familia yake ilishiriki hali yake ya wasiwasi.

3/29/2019

Swahili Gospel Movie "Vunja Pingu Na Ukimbie" | Bwana ni Mchungaji Wangu



Lee Chungmin alikuwa mzee wa kanisa fulani huko Seoul, Korea ya Kusini. Kwa zaidi ya miaka ishirini, alimtumikia Bwana kwa shauku kubwa, akamakinika kikamilifu juu ya kusoma Biblia. Akifuatia mfano wa viongozi wake wa kidini, alidhani kuwa kumwamini Bwana kulimaanisha kuiamini Biblia, na kwamba kuwa na imani katika Biblia kulikuwa sawa kabisa na kuwa na imani katika Bwana. Aliamini kwamba almuradi angeshika Biblia, angenyakuliwa kuingia katika ufalme wa mbinguni. Dhana hizi zilimbana kama jozi ya pingu, zikimzuia kufuata nyayo za Mungu na kumwamini Mungu. 

1/05/2019

Umeme wa Mashariki | Sura ya 44

Umeme wa Mashariki | Sura ya 44

Mwenyezi Mungu alisema, Mimi ni mwenye haki, Mimi ni mwaminifu, Mimi ndimi Mungu anayechunguza moyo wa ndani zaidi wa mwanadamu! Nitafichua mara moja aliye wa kweli na aliye wa uongo. Hakuna haja ya kuwa na hofu, vitu vyote hufanya kazi kwa wakati Wangu. Ni nani asiyenitaka Mimi kwa dhati, ni nani asiyenitaka Mimi kwa dhati—Nitawaambia. Kuleni tu vizuri, kunyweni vizuri, njoo mbele Yangu na Nikaribieni nami Nitafanya kazi Yangu Mwenyewe.

12/04/2018

Sinema Fupi ya Injili "Kuamka Kutoka kwa Ndoto" (3) - Mungu Hutumia Ukweli Kuhukumu na Kutakasa Mwanadamu katika Siku za Mwisho


Sinema Fupi ya Injili "Kuamka Kutoka kwa Ndoto" (3) - Mungu Hutumia Ukweli Kuhukumu na Kutakasa Mwanadamu katika Siku za Mwisho

Katika Siku za Mwisho, Mungu anapata mwili ili kufanya kazi ya hukumu duniani kuanzia kwa nyumba ya Mungu, hivyo, kazi ya Mungu ya hukumu katika siku za mwisho inamtakasaje na kumwokoa mwanadamu? Ni mabadiliko gani yataletwa kwa tabia yetu ya maisha baada ya kushuhudia hukumu na kuadibu kwa Mwenyezi Mungu? Filamu hii ya Kuamka Kutoka kwa Ndoto, itakupa majibu yote!

12/25/2017

Mungu ni upendo | “Watu Wote Wanaishi Katika Mwanga wa Mungu” | Best Swahili Worship Gospel Songs


Watu Wote Wanaishi Katika Mwanga wa Mungu

Sasa kwa kushangilia sana, utakatifu wa Mungu na haki
vinakua ulimwenguni kote, 
ikitukuka sana kati ya wanadamu wote.
Miji ya mbinguni inacheka, falme za dunia zinacheza.
Ni nani asiyesherehekea? Ni nani asiyetoa machozi?
Wanadamu hawagombani wala kupigana makonde; 
jua linaaangaza kotekote.
wakiishi katika mwanga wa Mungu, 
wakiwa na amani na kila mmoja.
Dunia ni ya mbingu, mbingu inaungana na dunia.