Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Sifa-za-Ufalme. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Sifa-za-Ufalme. Onyesha machapisho yote

7/12/2019

Wimbo za Kanisa | Njooni Zayuni Kwa Sifa

I
Njooni Zayuni kwa sifa. Makao ya Mungu tayari yameonekana.
Njooni Zayuni Kwa Sifa.
Nyote imbeni sifa za jina Lake takatifu; linaenea.
Mwenyezi Mungu! Mtawala wa ulimwengu, Kristo wa Mwisho, jua letu linalong’aa na kuangaza,
Ameinuka kutoka Mlima mkuu wa ulimwengu Zayuni. Mwenyezi Mungu!
Njooni Zayuni Kwa Sifa.
Sote tunakushangilia Wewe, tunaimba na kucheza.
Wewe kweli ndiwe Mwokozi wetu na Bwana wa ulimwengu.

8/04/2018

Mungu Anapata Mwili ili Tu Kumshinda Shetani na Kuwaokoa Binadamu

Wakati wa kupata mwili huku kwa Mungu duniani,
Anafanya kazi Yake miongoni mwa wanadamu.
Kazi hii yote ina kusudi moja—kumshinda ibilisi Shetani.
Atamshinda Shetani kupitia kumshinda mwanadamu,
pia kupitia kukufanya mkamilifu.

1/12/2018

Karibu Kurudi kwa Bwana Yesu | Drama yenye Muziki ya Sifa za Ufalme–Enzi Mpya Imeanza!


Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,Kanisa
Chini ya mbingu ya usiku yenye nyota, tulivu na kimya, kundi la Wakristo wanasubiri kwa ari kurudi kwa Mwokozi wakiimba na kucheza kwa muziki mchangamfu.Wanaposikia habari za furaha "Mungu amerejea" na "Mungu ametamka maneno mapya", wanashangaa na kusisimka. Wanafikiri: "Mungu ameonekana? Tayari ametokea?" Kwa udadisi na kutokuwa na uhakika, mmoja baada ya mwingine, wanaingia katika safari ya kuyatafuta maneno mapya ya Mungu. .Katika kutamafuta kwao kugumu, baadhi ya watu wanauliza maswali hali wengine wanalikubali tu.baadhi ya watu wanaangalia bila kutoa maoni, wakati wengine wanafanya mapendekezo na kutafuta majibu katika Biblia–wanaangalia lakini mwishowe kuangalia huku hakuzai matunda.Wakati tu wanapokata tamaa, shahidi mmoja anawaletea nakala ya Biblia ya Enzi ya Ufalme, na wanavutiwa kwa kina na maneno yaliyomo katika kitabu. Hiki ni kitabu cha aina gani kweli? Je, kwa kweli wamepata maneno mapya ambayo Mungu ameyanena katika kitabu hiki? Je, wamekaribisha kwa furaha kuonekana kwa Mungu?