1/12/2018

Karibu Kurudi kwa Bwana Yesu | Drama yenye Muziki ya Sifa za Ufalme–Enzi Mpya Imeanza!


Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,Kanisa
Chini ya mbingu ya usiku yenye nyota, tulivu na kimya, kundi la Wakristo wanasubiri kwa ari kurudi kwa Mwokozi wakiimba na kucheza kwa muziki mchangamfu.Wanaposikia habari za furaha "Mungu amerejea" na "Mungu ametamka maneno mapya", wanashangaa na kusisimka. Wanafikiri: "Mungu ameonekana? Tayari ametokea?" Kwa udadisi na kutokuwa na uhakika, mmoja baada ya mwingine, wanaingia katika safari ya kuyatafuta maneno mapya ya Mungu. .Katika kutamafuta kwao kugumu, baadhi ya watu wanauliza maswali hali wengine wanalikubali tu.baadhi ya watu wanaangalia bila kutoa maoni, wakati wengine wanafanya mapendekezo na kutafuta majibu katika Biblia–wanaangalia lakini mwishowe kuangalia huku hakuzai matunda.Wakati tu wanapokata tamaa, shahidi mmoja anawaletea nakala ya Biblia ya Enzi ya Ufalme, na wanavutiwa kwa kina na maneno yaliyomo katika kitabu. Hiki ni kitabu cha aina gani kweli? Je, kwa kweli wamepata maneno mapya ambayo Mungu ameyanena katika kitabu hiki? Je, wamekaribisha kwa furaha kuonekana kwa Mungu?
    Mwenyezi Mungu anasema: “Je, hukutamani sana kumwona Mungu aliye mbinguni? Je, hukutamani sana kumwelewa Mungu aliye mbinguni? Je, hukutamani sana kuona hatima ya mwanadamu? Atakueleza hizi siri zote ambazo hakuna mwanadamu ameweza kukuambia, na hata Atakuelezea kuhusu ukweli usioelewa. Yeye ndiye lango la kuingia katika ufalme, na mwongozo wako katika enzi mpya”(Neno Laonekana katika Mwili)
Enzi Mpya Imeanza
Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,Injili

    “Mungu ndiye ukweli, njia na uzima. Maneno Yake na kuonekana Kwake yanakuwepo sawia, na tabia na nyayo Zake daima zitafikika na wanadamu. Ndugu wapendwa, natumaini kwamba mnaweza kuona kuonekana kwa Mungu katika maneno , na kwamhayaba mtaanza kuzifuata nyayo Zake kuelekea enzi mpya na hadi katika mbingu mpya yenye kupendeza na dunia mpya iliyoandaliwa kwa wale wanaousubiri kuonekana kwa Mungu.”(Neno Laonekana katika Mwili).
    Mungu ameonekana na kuleta enzi mpya. Lango la Ufalme limefunguliwa kwa wanadamu, na wanawali wenye hekima wanasikiliza sauti ya Mungu, kufuata nyayo za Mwanakondoo, na kuingia katika mbingu na dunia mpya, nzuri! Tafadhali endelea kutazama drama yenye muziki ya Kanisa la Mwenyezi Mungu—Kila Taifa Humwabudu Mungu wa Vitendo! 
Kuhusu Sisi: Kujua Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki



Hakuna maoni:

Chapisha Maoni