Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Katika-Ufalme. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Katika-Ufalme. Onyesha machapisho yote

3/19/2019

Wimbo wa Injili | Mandhari Mapya Kila siku ya Ufalme

Wimbo wa Injili | Mandhari Mapya Kila siku ya Ufalme

I
Katika Mashariki, jua linalochomoza linaangaza katika anga zenye ukungu,
na ufalme wa uzuri mkuu
umekamilishwa katika ulimwengu huu.
Ulimwengu unayakubali maisha mapya, vitu vyote vinapewa nguvu mpya.
Eh! Pambazuko limefika sasa.

1/29/2019

Filamu za Injili "Kuamka Kutoka kwa Ndoto" | Kufichua Fumbo la Kuingia katika Ufalme wa Mbinguni


Kama wafuasi wengi wa Bwana Yesu, Yu Fan aliangazia kuhusu kusoma Biblia, akaacha kila kitu ili kulipa gharama ya kuteseka kwa ajili ya Bwana, na akatafuta kumtumikia Bwana kwa ari. Alifikiri kuwa kwa kufuata imani yake kwa jinsi hii, Bwana atakaporudi bila shaka atanyakuliwa kuingia katika ufalme wa mbinguni. Wakati Yu Fan, ili kutimiza ndoto yake nzuri, alihubiri na kumtumikia Bwana kwa ari, watumishi wenzake waliibua swali gumu: Ingawa dhambi zetu waumini zimesamehewa, ingawa tunaacha kila kitu na kulipa gharama ya kuteseka kwa ajili ya Bwana, bado tunafichua uovu wetu mara kwa mara, bado tunatenda dhambi na kumpinga Bwana.

1/26/2019

Umeme wa Mashariki | Sura ya 39

Umeme wa Mashariki | Sura ya 39

Hebu twende nje ya maneno ya Mungu na tuzungumze kidogo juu ya masuala yanayohusu maisha yetu, ili maisha yetu yasitawi, na tufikie matumaini ya Mungu kwetu. Hasa, pamoja na ujaji wa leo—wakati wa kila mmoja kuainishwa kulingana na aina, na wa kuadibu—kuna haja kubwa ya kuyalenga mambo muhimu na kumakinikia "maslahi ya pamoja." Haya ni mapenzi ya Mungu, na kile kinachopaswa kutimizwa na watu wote. Tungewezaje kukosa kujitoa kwa ajili ya mapenzi ya Mungu mbinguni?

12/07/2018

Mamlaka na Nguvu za Mungu Vyafunuliwa katika Mwili

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,nyimbo


Wimbo wa Maneno ya Mungu | Mamlaka na Nguvu za Mungu Vyafunuliwa katika Mwili

I
Mungu alikuja duniani hasa kutimiza
ukweli wa "Neno kuwa mwili."
(tofauti na Agano la Kale, katika siku za Musa,
Mungu alizingumza moja kwa moja kutoka mbinguni).
Kisha, yote yatatimizwa
katika enzi ya Ufalme wa Milenia
kuwa ukweli ambao watu wanaweza kuona,
ili watu waweze kuona
utimizaji hasa kwa macho yao wenyewe.

11/30/2018

Video za Kikristo | “Kuamka Kutoka kwa Ndoto” (Clip 1/4)


Video za Kikristo | “Kuamka Kutoka kwa Ndoto” Movie Clip: Ufalme wa Mungu Uko Mbinguni au Duniani?

Wengi ambao wanamwamini Bwana Yesu wote wanasubiri kunyakuliwa kuingia katika ufalme wa mbinguni, lakini je, unajua ufalme wa mbinguni hakika uko wapi? Je, unajua maana halisi ya kunyakuliwa? Filamu hii ya Kuamka Kutoka kwa Ndoto, itakufichulia mafumbo ya kunyakuliwa!
Sikiliza zaidi: Filamu za Injili, Kuhusu Kanisa la Mwenyezi Mungu

8/04/2018

Wale Tu Ambao Wanafuata Mapenzi ya Mungu Ndio Wanaweza Kuingia katika Ufalme wa Mbinguni


Ni mtu wa aina gani atanyakuliwa katika ufalme wa mbinguni? “Si kila mtu aniitaye, Bwana, Bwana, ataingia katika ufalme wa mbinguni; lakini yeye afanyaye mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni” (Mathayo 7:21). Lakini watu wengine wanaamini kuwa kuyafuata mapenzi ya Baba wa mbinguni kunamaanisha tu kuwa mwaminifu kwa jina la Bwana, kumtumikia kwa bidii, na kuvumilia mateso ya kubeba msalaba, na kuwa tukifanya vitu hivi, tunapaswa tu kukesha na kungoja hivi kwa kurudi mara ya pili kwa Bwana ili kunyakuliwa katika ufalme wa mbinguni. Je, mawazo haya yanapatana na mahitaji ya Bwana? Video hii fupi itakujulisha.