Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Utukufu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Utukufu. Onyesha machapisho yote

7/14/2019

Mungu Amemleta Mwanadamu Katika Enzi Mpya

Kazi ya Mungu inaongoza ulimwengu wote na, zaidi ya hayo, umeme unaangaza moja kwa moja kutoka Mashariki hadi Magharibi.
I
Mungu anaeneza kazi Yake kati ya mataifa.
Utukufu Wake unaangaza katika ulimwengu.
Mapenzi Yake, yaliyomo katika wanadamu waliotawanyika,
wote wakiongozwa na mkono Wake, wakifanya kazi walizopewa.
Sasa Ameingia katika enzi mpya,
kuleta wanadamu wote katika ulimwengu mwingine.

7/07/2019

Swahili Christian Song "Matendo Ya Mungu Yanajaza Ulimwengu Mzima Tupu" | Praise the Power of God


Swahili Christian Song "Matendo ya Mungu Yanajaza Ulimwengu Mzima Tupu" | Praise the Great Power of God

Mungu anatazama chini juu ya vitu vyote kutoka juu, na Anatawala vitu vyote kutoka juu.
Wakati huo huo, Mungu ametuma wokovu Wake juu ya dunia.
Mungu anaangalia kutoka mahali Pake pa siri kila wakati,
kila hatua ya mwanadamu, kila kitu anachosema na kufanya.

Mungu anamjua mwanadamu kama kiganja cha mkono Wake.

1/24/2019

Kanisa la Mwenyezi Mungu——Sura ya 3

Mwenyezi Mungu alisema, Mfalme wa ushindi hukaa juu ya kiti Chake cha enzi cha utukufu. Yeye Ametimiza ukombozi na kuongoza watu Wake wote kuonekana katika utukufu. Yeye hushikilia ulimwengu mikononi Mwake kwa hekima Yake ya uungu na uweza Yeye Amejenga Uyahudi na kuifanya imara. Pamoja na uadhama Wake Yeye huhukumu dunia ya maovu; Yeye huhukumu mataifa yote na watu wote, ardhi na bahari na vitu vyote hai juu yao, pia wale ambao wamelewa kwa divai ya uzinzi.

1/01/2019

Wimbo wa Maneno ya Mungu | Matendo Ya Mungu Yanajaza Ulimwengu Mzima Tupu


I
Mungu anatazama chini juu ya vitu vyote kutoka juu,
na Anatawala vitu vyote kutoka juu.
Wakati huo huo,
Mungu ametuma wokovu Wake juu ya dunia.
Mungu anaangalia kutoka mahali Pake pa siri kila wakati,
kila hatua ya mwanadamu,
kila kitu anachosema na kufanya.
Mungu anamjua mwanadamu
kama kiganja cha mkono Wake.

10/29/2018

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Tamko la Mia Moja na Tano

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Tamko la Mia Moja na Tano 

Kwa sababu ya kanuni za maneno Yangu, kwa sababu ya utaratibu wa kazi Yangu, watu hunikana; hili ndilo kusudi Langu la kuzungumza kwa muda mrefu (imezungumzwa kuhusu wazao wote wa joka kubwa jekundu). Ni njia ya hekima ya kazi Yangu; ni hukumu Yangu ya joka kubwa jekundu; huu ni mkakati Wangu, hakuna mtu hata mmoja anayeweza kuuelewa kikamilifu.

9/20/2018

Natamani Kuona Siku Ambayo Mungu Atapata Utukufu

Leo kwa sababu ya Mungu, pitia ugumu; kesho rithi baraka ya Mungu.
Kwa kusudi la kuona siku ambayo Mungu atapata utukufu,
Naweza kuacha ujana wangu na maisha yangu.
Ee! Upendo wa Mungu, unavutia moyo wangu.
Nahisi ugumu kumuacha Yeye. Nahisi ugumu kuwa mbali na Yeye.
Nitakunywa kikombe cha uchungu.

9/12/2018

Maana ya Mateso na ni Mateso ya Aina Gani Ambayo Waumini wa Mungu Lazima Wastahimili

Sura ya 7 Vipengele Vingine vya Ukweli Ambavyo Unafaa Kueleweka Katika Imani Yako kwa Mungu

6. Maana ya Mateso na ni Mateso ya Aina Gani Ambayo Waumini wa Mungu Lazima Wastahimili

Maneno Husika ya Mungu:
Leo, watu wengi sana hawana ufahamu huo. Wao huamini kwamba mateso hayana thamani, wao hukanwa na ulimwengu, maisha yao ya nyumbani yamesumbuliwa, wao si wapendwa wa Mungu, na matazamio yao ni matupu. Kuteseka kwa watu wengine hufikia kiwango fulani, na fikira zao hugeukia kifo. Huu si upendo wa kweli kwa Mungu; watu kama hao ni waoga, hawana ustahamilivu, wao ni wadhaifu na wasio na nguvu!

8/19/2018

Milele Kumsifu na Kumwimbia Mungu

Mungu anakuwa mwili, anaonekana nchini China,
Akionyesha ukweli kuhukumu na kuwatakasa wanadamu wote.
Ameleta wokovu Wake.
Watu kutoka mataifa yote wanakuja kusherehekea.
Milele wakisifu na kuimba jina Lake.
Hatujawahi kuota mbeleni kuona uso wa Mungu.
Hukumu na majaribio Anayotoa yanatatakasa na kutufanya wakamilifu.

7/25/2018

Wimbo | Njia Yote Pamoja na Wewe

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Msifuni Mwenyezi Mungu


I
Nilikuwa kama mashua, ikielea baharini. Ulinichagua, na mahali pazuri Uliniongoza. Sasa katika familia Yako, nikipewa joto na upendo Wako, nina amani kabisa. Unanibariki, Unatoa maneno Yako ya hukumu. Bado sijui jinsi ninavyokosa kuithamini neema Yako. Kila mara nikiasi, kwa namna fulani nikiuumiza moyo Wako. Na bado Hunitendei kulingana na dhambi zangu lakini Unafanya kazi kwa ajili ya wokovu wangu. Ninapokuwa mbali, Unaniita nirudi kutoka hatarini.

6/17/2018

Meupe na Safi ni Maji yaliyo Kando ya Kiti cha Enzi cha Mungu

Maji yaliyo kando ya kiti cha enzi cha Mungu, safi na meupe, yanatulisha sisi.
Neno la Mungu, maji ya uzima, mtiririko unaostawisha mioyo yetu.
Mwenyezi Mungu, tunakusifu Wewe. Shukrani ziwe Kwako na mwanga Wako!
Kutoka kwa upotovu Ulituokoa, hivyo sasa tunaishi katika mwanga Wako!
Sasa tunaishi katika mwanga Wako!

1/01/2018

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Maana ya Kuwa Mwanaadamu Halisi

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Maana ya Kuwa Mwanaadamu Halisi

Kumsimamia mwanadamu ndio Kazi Yangu, na ushindi Wangu dhidi yake ulikuwa hata umeshaamuliwa kabla zaidi Nilipoiumba dunia. Watu hawajui kwamba Nitashinda kabisa katika siku za mwisho, na pia hawajui kwamba ushahidi Wangu kumshinda Shetani ni kuwashinda walio waasi miongoni mwa binadamu. Lakini Nilikuwa Nimeshamwambia adui Yangu lilipokuwa linapambana na Mimi kwamba Nitakuwa mshindi wa wale waliokuwa wamechukuliwa na Shetani na kwa muda mrefu walikuwa watoto wa Shetani, na watumishi wake waaminifu wanaoangalia nyumba yake.

12/15/2017

Wale Ambao Tabia Yao Imebadilika Ndio Wanaoingia Katika Uhalisi wa Ukweli

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,maombi
Ushindi,Ukamilifu,Vitendo

Wale Ambao Tabia Yao Imebadilika Ndio Wanaoingia Katika Uhalisi wa Ukweli

    Mwenyezi Mungu alisema, Njia ambayo Roho Mtakatifu huchukua ndani ya watu ni kuvuta kwanza mioyo yao kutoka kwa watu, matukio, na vitu vyote, na kuingiza ndani ya maneno ya Mungu ili ndani ya mioyo yao wote waamini kwamba maneno ya Mungu hayana shaka kabisa na ni kweli kabisa. Kwa vile unaamini katika Mungu lazima uamini katika maneno Yake; ikiwa umeamini katika Mungu kwa miaka mingi lakini hujui njia ambayo Roho Mtakatifu hufuata, wewe kweli ni muumini? Ili kutimiza maisha ya mtu wa kawaida na maisha yanayofaa ya mtu na Mungu, lazima kwanza uamini maneno Yake. Ikiwa hujakamilisha hatua ya kwanza ya kazi ambayo Roho Mtakatifu hufanya ndani ya watu, huna msingi.

9/16/2017

Umeme wa Mashariki | Ukaribisheni Urejeaji wa Bwana Yesu | Sifa na Ibada "Mungu Ameleta Utukufu Wake Mashariki"


Mungu Ameleta Utukufu Wake Mashariki


Mungu aliipa Israeli utukufu Wake kisha Akauhamisha mbali na pale,

na kuwaleta Waisraeli na kuwaleta watu wote Mashariki.

Mungu amewaelekeza wote kwenye mwanga

ili waweze kuungana tena na kuwa pamoja na mwanga,

wasilazimike kuutafuta tena, kuutafuta mwanga.