4/18/2018

Utangulizi wa programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu | Injili ya kurudi kwa Bwana YesuπŸ‘


πŸ‘πŸ‘πŸ‘******^^******πŸŽ‰πŸŽ‰πŸŽ‰******^^******πŸ‘πŸ‘πŸ‘******^^******πŸ˜‡πŸ˜‡
Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.

Ili kutimiza shauku kuu ya watu kutoka asili mbalimbali ya kuchunguza kazi ya Mungu katika siku za mwisho, Kanisa la Mwenyezi Mungu limetoa programu yake ya kwanza ya simu ya mkononi.

Nyumbani
Maudhui ya kusisimua katika ukurasa wa nyumbani kwa tazamo la haraka.
Sikiliza maneno ya Roho Mtakatifu kwa makanisa, na ujue kazi na maneno ya Kristo wa siku za mwisho.
Wanawali wenye busara husikia sauti ya Mungu, hufuata nyayo Zake, wako wazi juu ya mafumbo yote ya ukweli, na wanaelewa kila sehemu ya miaka elfu sita ya kazi ya Mungu ya usimamizi. Injili ya mshuko wa ufalme ni jibu la maswali yako, na inakusaidia kubaini dhana zenye kosa na uongo wa Shetani.
Fahamu video hizi na makala ambazo ni hadithi za kweli kutoka kwa wateule wa Mungu
wakisimulia uzoefu wao wa kutakaswa na kuokolewa kwa njia ya hukumu ya Kristo katika siku za mwisho.

Vitabu
Upakuaji wa mbofyo mmoja wamatamshi mapya kabisa ya Kristo wa siku za mwisho, uzoefu na ushuhuda wa washindi, na vitabu vingine.
Inakuruhusu uyasikilize matamshi ya Muumba, na kusambaza ushuhuda wa wateule wa Mungu wakipitia hukumu mbele ya kiti cha Kristo.
Fomula saidiziya kuandika vidokezo kwa urahisi ili uweze kurekodi kile ambacho umejifunza wakati wowote kwa urahisi.

Sauti
Rekodi za mahubiri na usomaji wa maneno ya Mungu ambazo hutoa unyunyuziaji na riziki yenye neema, zikimaliza mapambano katika imani yako kwa Mungu.
Sikiliza nyimbo mpya za ufalme mtandaoni, na uingie katika enzi mpya kwa kumfuata Mwanakondoo na kuimba nyimbo mpya.
Fomula saidiziza upakuaji wa kundi na usimamizi wa upakuaji zinawezesha uzoefu bora sana nje ya mtandao.
Hifadhi na kusambaza nyimbo zako unazozipenda wakati wowote.

Video
Sehemu ya video inashirikisha filamu za injili, nyimbo za kwaya, masimulizi na usomaji wa maneno ya Mungu, nyimbo, video za muziki na video nyingine, zikikushawishi uhudhurie sikukuu ya neema ya Enzi ya Ufalme.
Tazama hadithi hizi za kweli za viongozi kutoka katika madhehebu mbalimbali wakishindwa na maneno ya Mungu na ufurahie video hizi za ajabu za wateule wa Mungu wakiimba na kucheza kwa kumsifu. Na kiwe kiambata kizuri katika siku yako yote!

Mtumiaji
Mpango wa Ibada ya Kiroho unafanya iwe rahisi kwako kupanga ibada zako mwenyewe na unakukumbusha wakati wa kuanza ibada yako ya kila siku.
Vidokezo vyako na vialamisho vitalandanishwa katika wingu. Ulandanisho wa mbofyo mmoja kati ya vidude tofauti.

Tunakukaribisha wewe, mtu ambaye hutafuta kuonekana kwa Mungu, ili uwasiliane nasi.

Kauli Maalum: Uzalishaji huu wa video ulitengenezwa kama mradi usio wa faida na Kanisa la Mwenyezi Mungu. Video hii isisambazwe kwa mtu mwingine kwa minajili ya faida, na ni matumaini yetu kwamba kila mtu atashiriki kuigawa na kuisambaza hadharani. Wakati unapoisambaza, tafadhali sisitiza chanzo chake. Bila ridhaa ya Kanisa la Mwenyezi Mungu, hakuna shirika, kundi la kijamii, au mtu binafsi anayeweza kubadilisha au kuhudhurisha visivyo maudhui ya video hii.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni