12/07/2018

Mamlaka na Nguvu za Mungu Vyafunuliwa katika Mwili

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,nyimbo


Wimbo wa Maneno ya Mungu | Mamlaka na Nguvu za Mungu Vyafunuliwa katika Mwili

I
Mungu alikuja duniani hasa kutimiza
ukweli wa "Neno kuwa mwili."
(tofauti na Agano la Kale, katika siku za Musa,
Mungu alizingumza moja kwa moja kutoka mbinguni).
Kisha, yote yatatimizwa
katika enzi ya Ufalme wa Milenia
kuwa ukweli ambao watu wanaweza kuona,
ili watu waweze kuona
utimizaji hasa kwa macho yao wenyewe.
Hii ni maana ya kina ya Mungu kuwa mwili.
Yaani, kazi ya Roho imekamilika
kupitia kwa mwili na neno.
Hii ni maana ya kweli ya "Neno kuwa mwili,
Neno kuonekana katika mwili."
II
Ni Mungu tu Anayeweza kuzungumza
mawazo ya Roho,
na ni Mungu tu katika mwili
anayeweza kuzungumza kwa niaba ya Roho.
Neno la Mungu linaonekana
katika Mungu aliyepata mwili.
Mtu yeyote yule ataongozwa na hili,
hakuna anayeweza kuzidi hili
na kila mtu anaishi ndani ya mipaka hii.
Kutokana na tamko hili watu watapata ufahamu;
isipokuwa kupitia haya matamshi
hakuna atakayeota kuhusu kupokea
tamko kutoka mbinguni.
Haya ni mamlaka ambayo yameonyeshwa
na Mungu kuwa mwili,
ili kila mtu ashawishike. 
kutoka kwa Neno Laonekana katika Mwili

Kuhusu Sisi: Asili ya Kanisa la Mwenyezi MunguNyimbo ya Msifuni Mwenyezi Mungu 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni