8/04/2018

Mungu Anapata Mwili ili Tu Kumshinda Shetani na Kuwaokoa Binadamu

Wakati wa kupata mwili huku kwa Mungu duniani,
Anafanya kazi Yake miongoni mwa wanadamu.
Kazi hii yote ina kusudi moja—kumshinda ibilisi Shetani.
Atamshinda Shetani kupitia kumshinda mwanadamu,
pia kupitia kukufanya mkamilifu.
Unapokuwa na ushuhuda mkubwa sana,
hii pia itakuwa ishara ya kushindwa kwa Shetani.
Mungu anapata mwili kumshinda tu Shetani na kuwaokoa wanadamu wote.
Ili Shetani aweze kushindwa,
mwanadamu kwanza anashindwa, kisha anakamilishwa.
Lakini katika kiini, huku akimshinda Shetani,
Mungu anamwokoa mwanadamu toka kwa dunia ya mateso.
Haijalishi kama kazi hii inafanyika Uchina au kote ulimwenguni,
yote ni kwa ajili ya kumshinda Shetani na kumwokoa mwanadamu,
ili mwanadamu aweze kuingia katika mahali pa mapumziko.
Mungu anapata mwili kumshinda tu Shetani na kuwaokoa wanadamu wote.
Kupata mwili kwa Mungu katika mwili wa kawaida
ni hasa kwa ajili ya kumshinda Shetani.
Kazi ya Mungu huyu wa mwili ni kuwaokoa wale wote wanaompenda Mungu chini ya mbingu.
Ni kwa sababu ya kuwashinda binadamu wote,
na pia kwa sababu ya kumshinda Shetani.
Kiini cha kazi yote ya Mungu hakitenganishwi
kutoka kwa kumshinda Shetani kwa ajili ya wokovu wa mwanadamu.
Mungu anapata mwili kumshinda tu Shetani na kuwaokoa wanadamu wote.
Mungu anapata mwili ili tu kumshinda Shetani na kuwaokoa wanadamu wote,
kuwaokoa wanadamu wote. Anawaokoa wanadamu wote.
kutoka kwa Neno Laonekana katika Mwili
kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya 
 Jifunze zaidi: Nyimbo ya Msifuni Mwenyezi Mungu 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni