6/25/2019

Ufalme wa Mungu Umetengenezwa Kati ya Wanadamu

I
Katika dunia na ulimwengu, hekima ya Mungu inaweza kuonekana.
Kati ya vitu vyote na watu wote, hekima Yake inapata matunda mazuri.
Kila kitu kinafanana na mazao ya ufalme wa Mungu.
Binadamu anapumzika chini ya mbingu ya Mungu kama kondoo katika malisho ya Mungu.
Mungu anaweza kupumzika Zayuni tena; mwanadamu anaweza kuishi chini ya uongozi wa Mungu.
Watu wanaweza yote katika mkono wa Mungu.
Hekima na sura ya kwanza, wanazipata tena baada ya yote.
Sio tena wenye vumbi, safi kama jiwe la thamani la kijani kibichi, kila mmoja na sura kama ya mtakatifu.
Kwani ufalme wa Mungu umetengenezwa kati ya wanadamu wote.
II
Mungu anatembea juu ya watu wote, Akigeuza mtazamo Wake kutazama pande zote.
Hakuna kitu hata kimoja ni cha zamani, hakuna mwanadamu hata mmoja yuko kama alivyokuwa awali.
Mungu anapumzika juu ya kiti Chake cha enzi, Anajilaza juu ya ulimwengu mzima.
Vitu vyote vinapata utakatifu wao, na moyo wa Mungu unatosheka.
Mungu anaweza kupumzika Zayuni tena; mwanadamu anaweza kuishi chini ya uongozi wa Mungu.
Watu wanaweza yote katika mkono wa Mungu.
Hekima na sura ya kwanza, wanazipata tena baada ya yote.
Sio tena wenye vumbi, safi kama jiwe la thamani la kijani kibichi, kila mmoja na sura kama ya mtakatifu.
Kwani ufalme wa Mungu umetengenezwa kati ya wanadamu wote.
kutoka katika "Tamko la Kumi Na Sita" la Matamshi ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima katika Neno Laonekana katika Mwili
Tazama Zaidi: Wimbo wa Kuabudu 2019 | "Mungu Anashuka na Hukumu" | Christ of the Last Days Has Appeared
Endelea Kusoma: Ni Kristo wa Siku za Mwisho Pekee Ndiye Anayeweza Kumpa Mwanadamu Njia ya Uzima wa Milele

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni