7/15/2018

Mungu Mmoja Wa Kweli Ameonekana katika Mwili

Radi inanguruma, ikitingiza mbingu. Mungu mmoja wa kweli ameonekana!
Ni sauti ya Roho Mtakatifu mwenyewe na ushuhuda Wake,
kama sauti ya radi kutoka mbingu. Amina! Amina!
Tunathibitisha Mungu ameonekana katika mwili.
Mwokozi amerejea, juu ya wingu jeupe.
Tumeuona uso wa Mungu. Ni baraka yetu kuu.
Makanisa yote sasa yameingia katika mafundisho ya ufalme (ya ufalme),
yakijiwasilisha kwa kazi binafsi ya Mungu.
Fursa kuu ya wokovu (ya wokovu).
Mungu mmoja wa kweli ameonekana katika mwili.
Tumeshikwa mbele ya kiti cha enzi. (Amina! Amina! Amina! Amina!)
Tunapoishi katika mwangaza wa leo, 
kadri tunavyosoma zaidi maneno ya Mungu, ndivyo tunavyopata uhalisi zaidi.
Na mazoezi ya utendaji ya kila siku, uzima wa kanisa ukaonekana.
Umeonekana! (Amina! Amina!).
Mwenyezi Mungu, tunataka kujali kuhusu mapenzi Yako.
Unatafuta wale ambao watafuta unachosema Wewe.
Tunataka kujitoa wenyewe Kwako, tugharimike kwa sababu Yako,
tujali kuhusu mzigo Wako na tuendelee mbele. (Amina! Amina!)
Amina! Amina!
Makanisa yote sasa yameingia katika mafundisho ya ufalme (ya ufalme),
yakijiwasilisha kwa kazi binafsi ya Mungu.
Fursa kuu ya wokovu (ya wokovu).
Mungu mmoja wa kweli ameonekana katika mwili.
Tumeshikwa mbele ya kiti cha enzi. (Amina! Amina! Amina! Amina!)
Mandhari ya ufalme yana mwanga usiokoma.
Kuishi katika mwangaza, ni furaha isiyo na kifani.
Mungu wetu Anatukuzwa hapa. Ufalme wa Mungu umekuja duniani.
Amina! Amina! Amina! Amina!
kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya
Yaliyopendekezwa : Umeme wa Mashariki Hutoka wapi? 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni