I
Kwa sababu ya kutimika kwa maneno ya Mungu, ufalme unapata umbo.
Kwa sababu ya mwanadamu kurudi kuwa kawaida, ufalme wa Mungu uko hapa.
Leo, mnaishi mbele ya Mungu; kesho, mtaishi katika ufalme Wake.
Nchi zote zimejawa na furaha na joto.
Ufalme wa Mungu upo hapa duniani. Ufalme wa Mungu upo hapa duniani.
II
Msimu wa baridi wenye barafu unabadilishwa na dunia ambayo ni majira ya kuchipuka upo mwaka mzima,
wakati ambapo mwanadamu hatakumbana na upweke wa dunia ama kuteseka tena.
Hakuna kupigana tena kati ya wanadamu, hakuna vita tena kati ya mataifa.
Hakuna mauaji tena, hakuna damu tena.
Kesho, mtaishi katika ufalme Wake.
Nchi zote zimejawa na furaha na joto.
Ufalme wa Mungu uko hapa, ufalme wa Mungu uko hapa duniani.
III
Mungu anatembea katika dunia hii nzima, Akiifurahia kutoka kwenye kiti Chake cha enzi.
Anaishi kati ya nyota, malaika wanamwimbia na kumchezea.
Malaika hawalii tena kwa unyonge wao.
Malaika wanaimba na kumchezea. Malaika wanaimba na kumchezea.
Mungu hatasikia tena vilio vya malaika.
Malaika wanaimba na kumchezea. Malaika wanaimba na kumchezea.
IV
Hakuna atakayelalamika kuhusu taabu.
Leo, mnaishi mbele ya Mungu; kesho, mtaishi katika ufalme Wake.
Je, hii sio baraka kubwa zaidi Aliyompa mwanadamu?
Watu wa Mungu katika ufalme, mtapata tena uzima uliokusudiwa binadamu.
Leo, mnaishi mbele ya Mungu; kesho, mtaishi katika ufalme Wake.
Nchi zote zimejawa na furaha na joto.
Ufalme wa Mungu uko hapa, ufalme wa Mungu uko hapa duniani.
kutoka kwa "Tamko la Ishirini" la Matamshi ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima katika Neno Laonekana katika Mwili
Sikiliza zaidi:Chanzo cha Mafanikio ya Umeme wa Mashariki, Msifuni Mwenyezi Mungu
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni