1/20/2018

Fuata Nyayo za Mwanakondoo |“ Kwaya ya Injili ya Kichina Onyesho la 19” | Haleluya

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki,Wakristo

Fuata Nyayo za Mwanakondoo

Jua Kazi Mpya Zaidi ya Mungu na Fuata Nyayo za Mungu! “Hawandio wanaomfuata Mwanakondoo kokote aendako” (Revelation 14:4). Kwa kuwa tunaamini katika Bwana, kufuata nyayo za Mwanakondoo ni muhimu zaidi!


Bwana Amerejea Kweli!

 Mwokozi Amerudi Tayari Juu ya “Wingu Jeupe”! Tumekuwa tukitamani hili mchana na usiku, tukisubiri kufika kwa siku hii!
Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki,Wakristo

 Biblia ya Enzi ya Ufalme

Neno Laonekana Katika Mwilini Enzi ya Biblia ya Ufalme! Mungu ni chemchemi ya maji yanayoishi. Utajiri wa Mungu ni mwingi mno na hauna mipaka! Hili ni fungu tu la yale Kristo wa siku za mwisho ameonyesha!
msifuni Mungu,Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki

Mungu Ametenda Kazi Mpya!

 Je, Biblia nzee iliyogeuka kuwa manjano ingewezaje kurekodi kazi na maneno ya Mungu ya siku za mwisho mapema? Maneno mapya ya Mungu yamenenwa kutoka kwa kinywa cha Kristo, ambaye amerudi kwa mwili! Wanawali wenye hekima wote wanakuja kusikiliza sauti ya Mungu, kufuata nyayo Zake, na kuingia katika enzi mpya ya ufalme!
 Tufuate: Kuhusu Sisi Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki,Msifuni Mwenyezi Mungu 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni