3/16/2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Ni nani Mtawala wa Ulimwengu?πŸ””πŸ‘πŸŒΉ

     πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ˜‡➝➝➝➝➝➝➝➝➝➝➞➞➞➨➨➨➨➨➨➨➨➨➨➨➨πŸ˜‡⏬⏬⏬⏬⏬
~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~
    Katika anga kubwa mno ya ulimwengu iliyojaa nyota, sayari zinagongana, na mfululizo wa michakato migumu huzaa sayari mpya. Ni siri gani zilizomo ndani?

Je, Nishati Kuu Nyeusi ni ya Kushangaza na Isiyoeleweka?

    Nishati kubwa ya giza huelekeza utendaji kazi wa ulimwengu. Hivyo, pia, ina ushawishi mkubwa juu ya uzalishaji wa viumbe vyote na sheria ambazo kwazo wao huishi …


Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,Mwenyezi Mungu

Mtu Atarudi Kule Alikotok

    Kwa enzi zote, watu wote wamefuata sheria sawa za kuweko; kutoka kwa maneno yao ya kwanza hadi wakati nywele zao zinapogeuka kijivu, wao hutumia maisha yao yote wakikurupuka huku na kule, hadi hatimaye wanageuka mavumbi …
😘😘**************************************************πŸ‘‡πŸ‘
    Umeme wa MasharikiKanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana. 
    Neno Laonekana katika Mwili

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni