3/14/2018

๐Ÿ–ผ️๐Ÿ‘Umeme wa Mashariki |《Yule Anayeshikilia Ukuu Juu ya Kila Kitu》

Kuushikilia Ulimwengu, Kuwatunza Viumbe Wote Wanaoishi

 Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,Kanisa
  1. Sayari zisizo na idadi za mbingu ulimwenguni zote hufanya kazi kwa ulinganifu—ni nani huzielekeza? Viumbe vyote hufuata sheria zisizobadilika za maisha—ni nani huamuru sheria hizi?
  2. Mungu asema: “Anaweza kuamuru utendaji mambo katika ulimwengu na kushikilia ukuu juu ya maisha na kifo cha viumbe vyote, na, vilevile, Anaweza kushughulikia viumbe vyote ili viweze kumhudumia Yeye; Anaweza kusimamia kazi zote za milima, mito, na maziwa, na kutawala viumbe vyote ndani yake, na, zaidi ya hayo, Anaweza kutoa kile ambacho kinahitajika na viumbe vyote.Haya ndiyo maonyesho ya mamlaka ya pekee ya Muumba miongoni mwa viumbe vyote mbali na mwanadamu. Maonyesho kama hayo si tu ya maisha tunayoishi, na hayatawahi kusita, au kupumzika.…
  3. Chini ya mbingu, viumbe wote husitawi na kuzaa katika mazingira yao wenyewe, wakizingatia sheria za uzima mara kwa mara, mchana unapofuata usiku, msimu baada ya msimu ... mtu huishi na kupumua kwa ulinganifu na vitu vyote, kila mmoja kikitegemeana kile kingine, kila kitu kikiwa kimepangwa vizuri kabisa …
 Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni