6/23/2018

Nyimbo ya Msifuni Mwenyezi Mungu | Maisha Yetu Sio Bure

Nyimbo ya Msifuni Mwenyezi Mungu  | Maisha Yetu Sio Bure

Maisha yetu sio bure.
Maisha yetu sio bure.

🎧🎧🎧🎧🎧🎧~~~~~🎼🎼🎼🎼🎼~~~~~~😍😍😍
I
Leo tunakutana na Mungu,
tunapitia kazi Yake.
Tumemjua Mungu katika mwili,
wa utendaji na wa hakika.
Tumeiona kazi Yake,
nzuri na ya ajabu.
Kila siku ya maisha yetu sio bure.
Tunamshuhudia Kristo kama ukweli na uzima!
Kufahamu na kukumbatia fumbo hili.
Nyayo zetu ziko katika
njia ng’avu zaidi ya hadi katika uzima.
Hatutafuti tena, yote yako wazi kwetu.
Mungu, tutakupenda
Wewe milele bila majuto.
Tumepata ukweli,
uzima wa milele tutapata.
Maisha yetu sio bure, sio bure.
Maisha yetu sio bure.
Maisha yetu sio bure.
II
Maisha ya kumpenda Mungu,
yenye maana, sio matupu.
Tutimize wajibu wetu ili kushuhudia kwa ajili Yake.
Tunapata sifa ya Mungu,
tunapokea wokovu Wake.
Hatuishi bure;
maisha yetu, yenye utajiri na yaliyojaa.
Mungu, tutakupenda Wewe
milele bila majuto.
Tumepata ukweli,
uzima wa milele tutapata.
Maisha yetu sio bure, sio bure.
Maisha yetu sio bure.
Maisha yetu sio bure.
III
Ni nani angewez kuwa
amebarikiwa kuliko tulivyobarikiwa?
Je, bahati nzuri ingeweza kutabasamu
kwa utajiri na wingi mno?
Kwa kuwa Mungu ametupa sisi
mengi zaidi kuliko chochote
kile Alichotoa katika enzi zilizopita.
Lazima tuishi kwa ajili ya Mungu,
Aliyetuinua mimi na wewe.
Tunapaswa kurudisha upendo wote
uliomwagwa kwetu.
Mungu, tutakupenda Wewe
milele bila majuto.
Tumepata ukweli,
uzima wa milele tutapata.
Maisha yetu sio bure, sio bure.
Maisha yetu sio bure.
Maisha yetu sio bure.
Maisha yetu sio bure.
kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni