7/31/2018

Hatimaye Naweza Kumpenda Mungu

Mungu, upendo Wako ni wa kweli na safi. Moyo Wako ni mwaminifu na mkarimu.
Ulitupa sisi kila kitu Chako ili kulipa gharama kwa ajili ya kutuokoa sisi.
Nakupenda na kukutegemea Wewe. Natetemeka katika uwepo Wako.
Nilipitia majaribu na Wewe. Sitaki uondoke upande wangu.
Kwa sababu ya uongozi kutoka Kwako, naweza kuishi katika mwanga.
Nitafanya lolote niwezalo. Nitajifunza kukupenda Wewe.
Pamoja na Wewe, nimekuja kujua moyo Wako.
Hatimaye naweza kukupenda Wewe, Mungu. Hatimaye naweza.
Hatimaye naweza kuujua moyo Wako na kukupenda Wewe, Mungu.
Nimeona uzuri Wako. Nimekujua Wewe Mungu wa matendo.
Kila wakati nashangazwa na mazuri, na kwa sababu Yako nimevuna mengi.
Unanipa upendo Wako wote. Muda wangu na Wewe ni wa thamani sana.
Kuamshwa na upendo Wako mwororo, nitakuwa mwaminifu kila wakati.
Kwa sababu ya uongozi kutoka Kwako, naweza kuishi katika mwanga.
Nitafanya lolote niwezalo. Nitajifunza kukupenda Wewe.
Pamoja na Wewe, nimekuja kujua moyo Wako.
Hatimaye naweza kukupenda Wewe, Mungu. Hatimaye naweza.
Hatimaye naweza kuujua moyo Wako na kukupenda Wewe, Mungu.
Maneno Yako yananiongoza na kunielekeza na yananisaidia kuutelekeza mwili wangu.
Nimeasi mara kwa mara, lakini neno Lako linaniletea uzima.
Najua jinsi ya kuwa mwaminifu; majaribu yanaponijia,
Nitakuwa na ushuhuda na kutupilia kila kitu mbali ili kukufuata Wewe.
Kwa sababu ya uongozi kutoka Kwako, naweza kuishi katika mwanga.
Nitafanya lolote niwezalo. Nitajifunza kukupenda Wewe.
Pamoja na Wewe, nimekuja kujua moyo Wako.
Hatimaye naweza kukupenda Wewe, Mungu. Hatimaye naweza.
Hatimaye naweza kuujua moyo Wako na kukupenda Wewe, Mungu.
Wewe unaniruzuku na ukweli, njia yangu mbele inang’aa.
Najua kile Ulicho nacho na Uliye.
Nimehisi upendo Wako usiokoma.
Neema Yako imenipa mimi yote ninayofurahia leo.
Ni vigumu kwangu kukupa shukrani zangu.
Kwa sababu ya uongozi kutoka Kwako, naweza kuishi katika mwanga.
Nitafanya lolote niwezalo. Nitajifunza kukupenda Wewe.
Pamoja na Wewe, nimekuja kujua moyo Wako.
Hatimaye naweza kukupenda Wewe, Mungu. Hatimaye naweza.
Hatimaye naweza kuujua moyo Wako na kukupenda Wewe, Mungu.

kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya 

Kuhusu Sisi: Msifuni Mwenyezi Mungu 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni