7/12/2018

Njoo Mbele Ya Mungu Mara kwa Mara

Chukua fursa unapokuwa na wakati, keti kimya mbele ya Mungu.
Soma neno Lake, jua ukweli Wake, rekebisha makosa na dhambi ndani yako.
Majaribu huja, yakabili; ijue nia ya Mungu na utakuwa na nguvu.
Mwambie ni vitu gani unavyokosa, shiriki ukweli Wake kila mara.
Roho yako ina furaha unapomwabudu Yeye.
Njoo mara kwa mara mbele ya Mungu, usipinge tena.
Kujali kwako mwili, kunamuumiza Yeye sana.
Soma neno Lake, elewa ukweli Wake.
Njoo mara kwa mara mbele ya Mungu. Njoo mara kwa mara mbele ya Mungu.
Hivyo ishi kama mwanadamu mtakatifu!
Haijalishi ni jaribio lipi ama hukumu inayokuja, tutafanya kazi kumfurahisha Yeye.
Njoo mara kwa mara mbele ya Mungu.
Njoo mara kwa mara mbele ya Mungu na uishi ukweli Wake.
Ingawa tunakosea, lazima tulipe upendo wa Mungu kwani Anatupenda sisi.
Tukibadilika, hafuatilii matendo ama orodha ya makosa.
Hivyo kuwa shahidi Wake, anayevuma: hili litamliwaza Mungu.
Tumefungwa katika wajibu kwa Mungu wetu mpendwa.
Roho yako ina furaha unapomwabudu Yeye.
Njoo mara kwa mara mbele ya Mungu, usipinge tena.
Kujali kwako mwili, kunamuumiza Yeye sana.
Soma neno Lake, elewa ukweli Wake.
Njoo mara kwa mara mbele ya Mungu. Njoo mara kwa mara mbele ya Mungu.
Hivyo ishi kama mwanadamu mtakatifu!
Haijalishi ni jaribio lipi ama hukumu inayokuja, tutafanya kazi kumfurahisha Yeye.
Njoo mara kwa mara mbele ya Mungu.
Njoo mara kwa mara mbele ya Mungu na uishi ukweli Wake.
Hivyo ishi kama mwanadamu mtakatifu!
Haijalishi ni jaribio lipi ama hukumu inayokuja, tutafanya kazi kumfurahisha Yeye.
Njoo mara kwa mara mbele ya Mungu.
Njoo mara kwa mara mbele ya Mungu na uishi ukweli Wake.
Na uishi ukweli Wake. Na uishi ukweli Wake.
Njoo mara kwa mara mbele ya Mungu na uishi ukweli Wake.
kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni