8/11/2018

Trela ya Filamu "Yule Anayeshikilia Ukuu Juu ya Kila Kitu" | Kuibuka na Kuanguka kwa Mataifa


Je, kuibuka na kuanguka kwa nchi au taifa ni kwa sababu ya vitendo vya binadamu? Je, ni sheria ya asili? Ni aina gani ya fumbo lililo ndani? Hasa ni nani huamuru kuibuka na kuanguka kwa nchi au taifa? Filamu ya Kikristo ya muziki Yule Anayeshikilia Ukuu juu ya Kila kitu hivi karibuni itafichua hilo fumbo!

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni