8/30/2018

Upendo wa Mungu Daima Unabaki Moyoni Mwangu

Katika safari yangu ya kumfuata Mungu, nimefurahia mapenzi Yake yote.
Maneno Yake na mahitaji Yake yote ni ulinzi na upendo Wake.
Katika wakati wangu wa udhaifu mkuu na majonzi, maneno ya Mungu yananihimiza kuendelea.
Kwa wakati wote ambao nimedhalilishwa, maneno Yake yananiinua tena kusimama.
(Mungu) Upendo wako ni wa thamani, bila majuto.
Upendo Wako ndani yangu nahisi kwa kina kabisa.
(Mwenyezi Mungu) Wewe ni mzuri sana. (Upendo Wako) upendo Wako nakumbuka.
(Mungu, upendo Wako) upendo Wako nakumbuka. Upendo Wako, upendo Wako nakumbuka.
Upendo wa Mungu kwa mwanadamu ni wazi na halisi.
Hukumu Yake na majaribu Yake yanalenga kunitakasa na kunikamilisha.
Usafishaji Wake unanisaidia kukua.
Mungu alipitia shida kubwa kuniongoza, kukaa daima upande wangu.
Nimelalamika na kumuelewa visivyo, na Amevumilia nyakati hizo.
(Mungu) Upendo wako ni wa thamani, bila majuto.
Upendo Wako ndani yangu nahisi kwa kina kabisa.
(Mwenyezi Mungu) Wewe ni mzuri sana. (Upendo Wako) upendo Wako nakumbuka.
(Mungu, upendo Wako) upendo Wako nakumbuka. Upendo Wako, upendo Wako nakumbuka.
Upendo wa Mungu usiokuwa na ubinafsi umebadilishwa, umebadilishwa kwa wokovu wangu.
Ukweli uliowekwa na Mungu ulinifanya kuwa na maisha ya kweli.
Ee! Mwenyezi Mungu, upendo wako unabaki moyoni mwangu.
Ee! Mwenyezi Mungu, nitakupenda milele.
Bila kujali nimepotoshwa kwa kiasi gani au jinsi gani ninaweza kuwa mgumu,
Mungu daima ni mvumilivu sana, daima Ananilisha na kuninywesha.
Katika mateso, vipingamizi na upungufu.
Maneno ya Mungu yamenitia moyo kuendelea.
Upendo Wake ni mzuri zaidi na wa kweli. Milele nitaweza kuzungumza hivi.
(Mungu) Upendo wako ni wa thamani, bila majuto.
Upendo Wako ndani yangu nahisi kwa kina kabisa.
(Mwenyezi Mungu) Wewe ni mzuri sana. (Upendo Wako) upendo Wako nakumbuka.
(Mungu, upendo Wako) upendo Wako nakumbuka. Upendo Wako, upendo Wako nakumbuka.
kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya 

Sikiliza zaidi: Chanzo cha Mafanikio ya Umeme wa Mashariki

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni