9/25/2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Mungu Aliniokoa

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Mungu Aliniokoa

Mungu aliniokoa, Mungu aliniokoa.
Alipata mwili kama mwanadamu, Akivumilia mvua na upepo,
kati ya watu Akijificha, hakuna aliyemjua Yeye.
Mungu alihukumu ili kunikoa, akaadhibu ili kunitakasa; nilipitia uchungu mwingi sana.
Nilikuja kumpenda Mungu kutoka moyoni mwangu, nikifurahia ukarimu wa Mungu na neema.
Bila wokovu wa Mungu, mwisho wangu—ukiwa, uharibifu, hakuna neema.
Bila wokovu wa Mungu, mwisho wangu—ukiwa, uharibifu, hakuna neema.
Mimi siwezi kuwepo bila Mungu wangu;
Singekuwa hapa leo kamwe.
Mungu aliniokoa, Mungu aliniokoa, ndio!
Mimi siwezi kuwepo bila Mungu wangu;
Singekuwa hapa leo kamwe.
Mungu aliniokoa, Mungu aliniokoa, ndio! Mungu milele nitamsifu.
Mungu amenena na kuniamsha, kazi ya Mungu imenibadilisha.
Amenipa uzima; namshukuru kutoka moyoni mwangu.
Jinsi ninavyo tamani kumpa Yeye upendo wangu wote wa kweli!
Maovu bado yako ndani yangu, ilhali nimeona uzuri wa Mungu.
Hata kuwe na majaribu yoyote, sitamwacha Yeye.
Nilijali tu kujihusu na kamwe sikumpenda Mungu.
Nikamfanya Yeye ateseke na kulia, nimeuvunja moyo wa Mungu.
Nachukia tabia yangu potovu.
Kumfariji, nitajaribu. Kumfariji, nitajaribu.
Bila wokovu wa Mungu, mwisho wangu—ukiwa, uharibifu, hakuna neema.
Bila wokovu wa Mungu, mwisho wangu—ukiwa, uharibifu, hakuna neema.
Mimi siwezi kuwepo bila Mungu wangu;
Singekuwa hapa leo kamwe.
Mungu aliniokoa, Mungu aliniokoa, ndio!
Mimi siwezi kuwepo bila Mungu wangu;
Singekuwa hapa leo kamwe.
Mungu aliniokoa, Mungu aliniokoa, ndio! Mungu milele nitamsifu.
Mimi siwezi kuwepo bila Mungu wangu;
Singekuwa hapa leo kamwe.
Mungu aliniokoa, Mungu aliniokoa, ndio!
Mimi siwezi kuwepo bila Mungu wangu;
Singekuwa hapa leo kamwe.
Mungu aliniokoa, Mungu aliniokoa, ndio! Mungu milele nitamsifu.

kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba 
Nyimbo Mpya 

Sikiliza zaidi: Neno la Mwenyezi Mungu

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni