11/18/2018

Kiini cha Kristo Ni Mungu

I
Mungu anayekuwa mwili anaitwa Kristo,
hivyo Kristo anayeweza kuwapa watu ukweli anaitwa Mungu.
Si kupita kiasi kusema hivyo.
Kwani Ana kiini cha Mungu.
Ana tabia ya Mungu na hekima katika kazi Yake,
ambayo haifikiwi na mwanadamu.
Wale wanaojiita Kristo wenyewe ilhali hawawezi kufanya kazi Mungu ni wadanganyifu.
Kristo sio tu udhihirisho wa Mungu duniani,
lakini mwili hasa uliochukuliwa na Mungu,
Anapotekeleza, kutimiza kazi Yake kati ya mwanadamu.
Kristo sio tu udhihirisho wa Mungu duniani,
lakini, mwili hasa uliochukuliwa na Mungu,
Anapotekeleza, kutimiza kazi Yake kati ya mwanadamu.
II
Mwili huu hauwezi kubadilishwa na mwanadamu yeyote tu.
Mwili huu unaweza kutosha kubeba kazi ya Mungu duniani.
Mwili huu unaweza kuonyesha tabia ya Mungu,
unaweza kumwakilisha Mungu vizuri na kumpa mwanadamu uzima.
Wale wanaojifanya kuwa Kristo, siku moja wataanguka.
Kwa kuwa ingawa wanajiita Kristo,
hawana kiini chochote cha Kristo.
Hivyo Mungu anasema kuwa uhalali wa Kristo hauwezi kuelezwa na mwanadamu,
lakini hili linajibiwa na Mungu Mwenyewe, na hili linaamuliwa na Mungu Mwenyewe.
Hivyo Mungu anasema kuwa uhalali wa Kristo hauwezi kuelezwa na mwanadamu,
lakini hili linajibiwa na Mungu Mwenyewe, na hili linaamuliwa na Mungu Mwenyewe.
Hivyo, kama kwa kweli unataka kutafuta njia ya uzima,
lazima kwanza utambue,
ni kwa kukuja katika dunia ya binadamu ndipo Anaweka juu ya mwanadamu njia ya uzima.
Ni katika siku za mwisho ambapo Anakuja duniani
kumpa mwanadamu njia ya uzima.
Anaweka njia ya uzima juu ya mwanadamu kwa kuja katika dunia ya mwanadamu.
Sio zamani; linafanyika leo.
Linafanyika leo.
kutoka kwa "Ni Kristo Wa Siku za Mwisho Pekee Ndiye Anayeweza Kumpa Mwanadamu Njia ya Uzima wa Milele" katika Neno Laonekana katika Mwili
Yaliyopendekezwa : Msifuni Mwenyezi Mungu 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni