2/20/2019

Wimbo Injili | Kutafuta Wandani

I
Umefanya kazi katika bustani kwa muda mrefu na Umepanda upendo Wako ndani sana.
Umelipa kila gharama, Ukitamani kuwapata watu ambao wana moyo mmoja na Wewe.
Umetafuta kwa muda mrefu—ni nani anayeweza kuelewa dhiki Yako?
Umewekeza upendo mwingi sana wa kweli, lakini ni vigumu Kwako kupata faraja katika maumivu Yako.
Siku Yako inakuja, na sote tunajitahidi kw3a juhudi kubwa.
Tunataka kukupenda na kuwa wandani Wako, na kutembea pamoja na Wawe kupitia upepo na mvua.
II
Bwana ataondoka bustanini, na watumishi hawawezi kuvumilia hili, mioyo yao imevunjika.
Deni kama hili ni gumu kulipa, hata kulipa kiasi kidogo kabisa.
Kila mtu amejawa na wasiwasi na moyo Wako bado haujafarijika.
Ninaogopa tu kwamba sikupendi sana kiasi cha kutosha, na kamwe siwezi kuthubutu kuwa mzembe.
Moyo wangu unatamani kukupenda na nitaiga roho ya Petro.
Nitatekeleza mapenzi Yako maisha yangu yote na kukufuata kikamilifu.

kutoka katika Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni