Kwa sasa, mateso ya Wakristo ya serikali inayomkana Mungu ya CCP yanaongezeka kila siku. Waumini wanakabiliwa na kizuizi kwa kutenda imani yao mara kwa mara; hata hawawezi kupata pahali pa kukutana kwa amani. Bila chaguo jingine, Liu Xiumin anaweza tu kutayarisha mkutano na ndugu katika zizi lake la ng'ombe. Lakini wakati wanapokutana, makada wa kijiji wanakuja mmoja baada ya mwingine kuangalia kila pahali, wakitoa visingizio mbalimbali, na kisha hata kuwaleta polisi wa CCP ndani....
Je, Liu Xiumin na ndugu zake wataweza kufanikiwa kufanya mkutano wao? Je, watagunduliwa? Je, watakamatwa? Mchezo huu mfupi wa kuchekesha Kukusanyika katika Zizi la Ng'ombe unakufichulia jinsi Wakristo katika China wanaweza kushikilia katika imani yao chini ya mateso ya serikali ya CCP.
Tufuate: Asili na Maendeleo ya Kanisa la Mwenyezi Mungu
Tufuate: Asili na Maendeleo ya Kanisa la Mwenyezi Mungu
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni