7/02/2019

2018 Gospel Music "Usimamizi wa Mungu Daima Ukiendelea Mbele" (Swahili Subtitles)

2018 Gospel Music "Usimamizi wa Mungu Daima Ukiendelea Mbele" (Swahili Subtitles)


       Mababu wa wanadamu, Adamu na Hawa, walipopotoshwa na Shetani, Mungu alianza usimamizi Wake wa wokovu wa wanadamu. Tangu wakati huo, Amefanya kazi bila ya kukoma: Mungu alitangaza sheria kuwaongoza wanadamu, na Yeye binafsi alikuja miongoni mwa wanadamu kusulubiwa na kuwakomboa wanadamu, na katika siku za mwisho, Mungu anaendelea na kazi Yake, akitimiza unabii wa Biblia: "Basi mimi nikienda na kuwaandalia mahali" (Yohana 14:2). "Naja upesi; na Nina thawabu Yangu, kumpa kila mwanadamu kulingana na vile matendo yake yatakuwa" (Ufunuo 22:12).

Iliyotazamwa Mara Nyingi: Wimbo Mpya wa Dini | "Jinsi ya Kutafuta Nyayo za Mungu" | God's Sheep Hear the Voice of God

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni