7/10/2019

Muziki wa Injili "Maneno Ya Mungu Ni Ukweli Usiobadilika Milele" πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘

Muziki wa Injili "Maneno Ya Mungu Ni Ukweli Usiobadilika Milele" | The Word of God Is a Light to Our Path

Maneno ya Mungu ni ukweli, usiobadilika milele.
Mungu ndiye mpaji wa uzima, na kiongozi pekee wa mwanadamu.
Thamani na maana ya maneno Yake yanaamuliwa na kiini chao,
sio kama mwanadamu anayakubali au kuyatambua.
Hata kama hakuna mwanadamu ulimwenguni anayapokea maneno Yake,
thamani yao na usaidizi kwa mwanadamu hayapimiki.
Maneno ya Mungu ni ukweli, usiobadilika milele.
Mungu ndiye mpaji wa uzima, na kiongozi pekee wa mwanadamu.

Kwa wale wanaoasi, kupinga na kutoheshimu maneno Yake,
Jibu pekee la Mungu kwao ni hili:
Acha muda na ukweli uwe shahidi Wake,
uonyeshe maneno Yake ni ukweli, njia na uzima;
uonyeshe kuwa yote Aliyosema ni kweli,
ni kile ambacho mwanadamu anafaa kuwa nacho na kufuata.
Maneno ya Mungu ni ukweli, usiobadilika milele.
Mungu ndiye mpaji wa uzima, na kiongozi pekee wa mwanadamu.

Kwa wale wote wanaomfuata Mungu atawaruhusu kuona ukweli huu:
Wale ambao hawakubali maneno Yake au kuyatekeleza katika matendo yao,
na wale ambao hawawezi kugundua kusudi ama wanaokosa kupata wokovu katika maneno Yake,
Hawa wote ni wale watu ambao maneno ya Mungu yamewalaani.
Wamepoteza wokovu wa Mungu.
Kutoka kwao, adhabu Yake haitapotea mbali
Maneno ya Mungu ni ukweli, usiobadilika milele.
Mungu ndiye mpaji wa uzima, na kiongozi pekee wa mwanadamu.
Maneno ya Mungu ni ukweli, usiobadilika milele.
Mungu ndiye mpaji wa uzima, na kiongozi pekee wa mwanadamu.

kutoka katika Neno Laonekana katika Mwili

Yaliyopendekezwa: Wimbo wa Kuabudu 2019 | "Mungu Anashuka na Hukumu" | Christ of the Last Days Has Appeared

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni