7/04/2019

Mungu ni upendo | "Watu Wote Wanaishi Katika Mwanga wa Mungu" | Best Swahili Gospel Worship SongπŸŽ΅πŸŽ΅πŸ’—πŸ’—πŸ‘πŸ‘

Wimbo wa Injili | "Watu Wote Wanaishi Katika Mwanga wa Mungu" | Best Swahili Gospel Worship Song

Sasa kwa kushangilia sana, utakatifu wa Mungu na haki
vinakua ulimwenguni kote, 
ikitukuka sana kati ya wanadamu wote.
Miji ya mbinguni inacheka, falme za dunia zinacheza.
Ni nani asiyesherehekea? Ni nani asiyetoa machozi?
Wanadamu hawagombani wala kupigana makonde; 
jua linaaangaza kotekote.
wakiishi katika mwanga wa Mungu
wakiwa na amani na kila mmoja.
Dunia ni ya mbingu, mbingu inaungana na dunia.
Mwanadamu ndiye ukamba unaounganisha mbingu na dunia.
Kwa sababu ya utakatifu wa mwanadamu, 
kwa sababu ya upya wake,
mbingu haijifichi kutoka kwa dunia tena, 
dunia haiinyamazii mbingu tena.
Wanadamu hawagombani wala kupigana makonde; 
hawaliabishi jina la Mungu,
wakiishi katika mwanga wa Mungu, 
wakiwa na amani na kila mmoja.
Wanadamu hawagombani wala kupigana makonde; 
hawaliabishi jina la Mungu,
wakiishi katika mwanga wa Mungu, 
wakiwa na amani na kila mmoja.
Hewa ni changamfu, ukungu mzito umetoweka, 
jua linaangaza kotekote.
Hewa ni changamfu, ukungu mzito umetoweka, 
jua linaangaza kotekote.
Hewa ni changamfu, ukungu mzito umetoweka, 
jua linaangaza kotekote.
Hewa ni changamfu, ukungu mzito umetoweka, 
jua linaangaza kotekote.
Nyuso za ubinadamu zimezingirwa na tabasamu.
Ukiwa umejificha mioyoni mwao, 
utamu unaenda kwa mwendo mrefu.
Wanadamu hawagombani wala kupigana makonde; 
hawaliabishi jina la Mungu,
wakiishi katika mwanga wa Mungu, 
wakiwa na amani na kila mmoja.
Wanadamu hawagombani wala kupigana makonde; 
hawaliabishi jina la Mungu,
wakiishi katika mwanga wa Mungu, 
wakiwa na amani na kila mmoja,
wakiwa na amani na kila mmoja,
wakiwa na amani na kila mmoja.

kutoka kwa Neno Laonekana katika Mwili

Iliyotazamwa Mara Nyingi: Imani za Kimsingi za Kanisa la Mwenyezi Mungu

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni