“Kumbukumbu Chungu” – Ni Vigezo Vipi vya Kuingia Kwenye Ufalme wa Mbinguni? | Filamu za Kikristo (Movie Clip 2/5)
Kuhusiana na ni mtu aina gani anayeweza kuingia kwenye ufalme wa mbinguni, Bwana Yesu alisema, "ila yule atendaye mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni" (Mathayo 7:21). Kwa hivyo ni mtu aina gani hasa anayefanya mapenzi ya Baba wa mbinguni? Watu wengi husadiki kwamba wale wanaofuata mfano wa Paulo na kufanya kazi kwa uangalifu na bidii nyingi kwa ajili ya Bwana ndio wanaofanya mapenzi ya Baba wa mbinguni. Kisha kunao wale wanaosadiki kwamba wale ambao wanampenda Mungu pekee kwa moyo wao wote, akili na nafsi, ambao hawatendi dhambi tena na wamefikia utakaso, ndio wanaofanya mapenzi ya Baba wa mbinguni. Hivyo ni nani aliye sahihi na nani asiye sahihi kutokana na mitazamo hii miwili? Tafadhali tazama pande zote mbili zikishiriki katika majadiliano makali!
Je, unataka kukaribisha Bwana Yesu? Je, unataka kunyakuliwa kabla maafa? Tovuti yetu hutoa ujumbe kuhusu kuja kwa mara ya pili kwa Kristo. Tafadhali bofya kitufe hapo chini kuwasiliana nasi mtandaoni wakati wowote.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni