9/02/2019

Latest Swahili Gospel Movie "Siri ya Utauwa: Mfuatano" | God is the Way, the Truth, and the Life




Lin Bo'en ni mhubiri mzee ambaye amemwani Bwana kwa miongo mingi. Tangu alipomkubali Mwenyezi Mungu, Kristo wa siku za mwisho, alihukumiwa, akatengwa, na akafukuzwa kutoka kwa jumuiya ya kidini na wachungaji na wazee wa kanisa, nguvu zinazompinga Kristo. Lakini ingawa Lin Bo’en alishambuliwa, akahukumiwa na kusingiziwa, hakusita kwa woga. Badala yake, imani yake ikawa thabiti zaidi kuliko ilivyowahi kuwa, na hili lilimwongoza kufahamu hatimaye kwamba wachungaji na wazee wa kanisa wa ulimwengu wa dini walikuwa wakiigiza kwa udanganyifu sura adilifu.  Wakati huo huo, alikuja kujua kwamba Kristo pekee ndiye ukweli, njia, na uzima, na Kristo pekee ndiye Anaweza kumwokoa na kumtakasa na kumkamilisha mwanadamu. Kwa ajili ya hili, aliamua kumfuata Kristo, kumshuhudia Kristo, na kufanya kila linalowezekana kufuatilia ukweli, kutafuta kuigeuza tabia yake ili aweze kuwa shahidi wa kweli wa Mungu. Mara tu Chama cha Kikomunisti cha Uchina kilipogundua kwamba Lin Bo’en aliachiliwa kutoka gerezani na hakuwa amebadilika, kwamba hakuwa ameikana imani yake hata kidogo na hata aliamini katika Umeme wa Mashariki kwamba alienda kila mahali kushuhudia kwamba Bwana Yesu amerudi tena na kwamba Yeye ni Mwenyezi Mungu, CCP kilimworodhesha kama mtu wa kutakiwa na walienda kila mahali kumkamata. Lin Bo’en alilazimika kuiacha familia yake, na kila mahali aliposhuhudia kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho, aliweza kuwaongoza waumini wengi waaminifu, wa tabia njema kwa upande wa Mungu. Video hii inatoa maelezo ya hadithi ya kweli ya Lin Bo’en ya kueneza injili na kumshuhudia Mungu. 

Soma Zaidi: Dhana na Fikira Hazitawahi Kukusaidia Kumjua Mungu

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni