9/14/2019

Ulimwengu wote ni Mpya Kabisa katika Utukufu wa Mungu

Katika ufalme Wake, maneno ya Mungu hutoka.
Naye hutembea kila mahali duniani.
Naye amefanikiwa juu ya maeneo yote ya duniani,
juu ya nchi yote iliyo najisi na yenye uchafu.
Sio mbingu tu bali dunia inabadilika.
Na hivi karibuni dunia itafanywa upya.
Ulimwengu wote ni Mpya Kabisa katika Utukufu wa Mungu.
Ni ajabu iliyoje kwa kila mtu kuona.
Inaonekana kama mmwanadamu anaishi mbinguni ambako mwanadamu anafikiria,
huru kutoka kwa mfumbato wa Shetani na mashambulizi ya maadui.
Juu kabisa ya ulimwengu, nyota nyingi
zinachukua nafasi yao mbinguni kwa amri ya Mungu,
zikiangaza mwanga wao kupitia maeneo ya mbinguni
ili kufikia ulimwengu katika masaa ya giza.
Hakuna yeyote anayethubutu kuweka mawazo ya kutotii.
Ulimwengu wote ni Mpya Kabisa katika Utukufu wa Mungu.
Ni ajabu iliyoje kwa kila mtu kuona.
Inaonekana kama mmwanadamu anaishi mbinguni ambako mwanadamu anafikiria,
huru kutoka kwa mfumbato wa Shetani na mashambulizi ya maadui.
Kwa amri takatifu ya Mungu, ulimwengu una utaratibu kamili.
Hakuna kinachothubutu kuvuruga; umoja ambao haujawahi kuvunjwa.

kutoka kwa "Tamko la Kumi na Tano" la Matamshi ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima katika Neno Laonekana katika Mwili

 Tazama Zaidi: Wimbo wa Kuabudu "Viumbe Wote Lazima Waje Chini ya Utawala wa Mungu" | Manifestation of Power of God

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni