Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Enzi-Ya-Ufalme. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Enzi-Ya-Ufalme. Onyesha machapisho yote

2/04/2018

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 14

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,Mwenyezi Mungu,

Matamshi ya Mwenyezi Mungu, Sura ya 14

    Katika enzi zote, hakuna mwanadamu ameingia katika ufalme na hivyo hakuna aliyefurahia neema ya Enzi ya Ufalme, hakuna aliyeona Mfalme wa ufalme. Ingawa chini ya nuru ya Roho Wangu watu wengi wametabiri uzuri wa ufalme, wanajua tu nje ya ufalme, sio umuhimu wa ndani. Leo, ufalme ujapo kuwepo rasmi duniani, binadamu wote bado hujui kinachopaswa kukamilishwa, ulimwengu ambao binadamu hatimaye ataletwa ndani, wakati wa Enzi ya Ufalme. Kuhusu haya, Naogopa watu wote wako katika hali ya mkanganyiko. Kwa sababu siku ya utambuzi kamili wa ufalme bado haijafika kabisa, wanadamu wote wamechanganyikiwa, hawawezi kuiona vizuri. Kazi Yangu ya uungu inaanza rasmi na Enzi ya Ufalme.

1/20/2018

Fuata Nyayo za Mwanakondoo |“ Kwaya ya Injili ya Kichina Onyesho la 19” | Haleluya

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki,Wakristo

Fuata Nyayo za Mwanakondoo

Jua Kazi Mpya Zaidi ya Mungu na Fuata Nyayo za Mungu! “Hawandio wanaomfuata Mwanakondoo kokote aendako” (Revelation 14:4). Kwa kuwa tunaamini katika Bwana, kufuata nyayo za Mwanakondoo ni muhimu zaidi!

1/18/2018

Matamshi ya Mwenyezi Mungu, Tamko La Kumi

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki ,Mwenyezi Mungu

Matamshi ya Mwenyezi Mungu, Tamko La Kumi

     Enzi ya Ufalme ni, hata hivyo, tofauti na nyakati za kale. Haihusu kile anachofanya mwanadamu. Badala yake, Mimi binafsi Natekeleza kazi Yangu baada ya kushuka duniani—kazi ambayo wanadamu hawawezi kuelewa wala kufanikisha. Tangu kuumbwa kwa ulimwengu mpaka leo, miaka hii yote daima imehusu kujenga kanisa, lakini hakuna mtu anayesikia kamwea kuhusu kujenga ufalme.

1/02/2018

Kwa nini Mungu Huchukua Jina la Mwenyezi Mungu Katika Enzi ya Ufalme?

Kwa nini Mungu Huchukua Jina la Mwenyezi Mungu Katika Enzi ya Ufalme?

Watu wengi hawaelewi ni kwa nini, kwa kuwa Mwenyezi Mungu ni kurudi kwa Bwana Yesu katika siku za mwisho, Bwana Yesu anaitwa Mwenyezi Mungu wakati Anapokuja kufanya kazi ya hukumu katika siku za mwisho. Kwa nini haendelei kuitwa Bwana Yesu? Kwa kweli, Mungu ana jina jipya kila wakati Anapofanya hatua moja ya kazi Yake. Jina hili jipya linachukuliwa na Mungu Mwenyewe kama inavyofaa kazi hii–siyo kitu ambacho watu humuita Yeye kama wanavyotaka.

12/31/2017

Umeme wa Mashariki | Kuhusu Biblia (4)

Umeme wa Mashariki,Kanisa la Mwenyezi Mungu,Biblia
maandiko ya Biblia,neno la mungu

                           Umeme wa Mashariki | Kuhusu Biblia (4)

Biblia inaandika masuala ya Israeli na matendo ya watu wake wateule wakati huo. Kwa maneno mengine, ni maelezo ya masuala ya Yehova, ambayo kwayo Roho Mtakatifu hatoi lawama. Ingawa kulikuwa na uteuzi wa sehemu za kujumuisha au kuondolewa, ingawa Roho Mtakatifu hathibitishi, bado Hatoi lawama. Biblia si kitu chochote zaidi ya historia ya Israeli na kazi ya Mungu. Watu, masuala, na mambo inayoyarekodi yote yalikuwa ya kweli, na hakuna kitu kuhusu hayo kilikuwa ni ishara ya maisha ya baadaye—mbali na unabii wa Isaya na Danieli, au kitabu cha Yohana cha maono. Watu wa awali wa Israeli walikuwa wenye maarifa na watu wenye utamaduni wa hali ya juu, na maarifa yao ya kale na utamaduni ulikuwa wa kiwango cha juu, na hivyo kile walichoandika kilikuwa cha kiwango cha juu kuliko watu wa leo.

12/06/2017

Umeme wa Mashariki | Enzi ya Ufalme Ndiyo Enzi ya Neno

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki
neno la Mwenyezi Mungu, Enzi ya Ufalme Ndiyo Enzi ya Neno

Umeme wa Mashariki | Enzi ya Ufalme Ndiyo Enzi ya Neno

Katika Enzi ya Ufalme, Mungu anatumia neno ili kukaribisha enzi mpya, ili kubadilisha mbinu za kazi Yake, na kuweza kufanya kazi katika enzi nzima. Hii ndiyo kanuni ambayo Mungu hufanyia kazi katika Enzi ya Neno. Alikuwa mwili ili kuweza kuzungumza kutoka mitazamo tofauti, kumwezesha binadamu kumwona Mungu kwa kweli, ambaye ni Neno linaloonekana katika mwili, na hekima Yake na maajabu. Kazi kama hiyo inafanywa ili kwa njia bora zaidi kutimiza shabaha za kumshinda binadamu, kumfanya binadamu kuwa mtimilifu, na kumwondoa binadamu. Hii ndiyo maana ya kweli ya kutumia neno ili kufanya kazi katika Enzi ya Neno.

11/14/2017

Kuzishika Amri na Kuutenda Ukweli

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,ukweli
Umeme wa Mashariki | Kuzishika Amri na Kuutenda Ukweli

Matamshi ya Mwenyezi Mungu - Kuzishika Amri na Kuutenda Ukweli

Katika matendo, amri zapaswa kuunganishwa na matendo ya ukweli. Wakati unapozishika amri, mtu anapaswa kutenda ukweli. Wakati anapotenda ukweli, mtu hapaswi kukiuka kanuni za amri au kwenda kinyume na amri. Fanya yale ambayo Mungu anahitaji uyafanye. Kuzishika amri na kuutenda ukweli vinahusiana, bali havikinzani. Zaidi unavyotenda ukweli, ndivyo unavyoweza kutilia maanani zaidi kiini cha amri. Zaidi unavyotenda ukweli, ndivyo utakavyoweza kulielewa zaidi neno la Mungu kama ilivyoonyeshwa katika amri. Kutenda ukweli na kuzishika amri sio vitendo vinavyopingana, lakini badala yake vinahusiana. Mwanzoni, ni kwa kuzishika tu amri ndipo mwanadamu anaweza kuutenda ukweli na kufikia kuipata nuru kutoka kwa Roho Mtakatifu. Lakini hii sio nia ya awali ya Mungu.

10/21/2017

Amri Kumi Za Utawala Ambazo Lazima Zitiiwe Na Watu Waliochaguliwa Na Mungu Katika Enzi Ya Ufalme

Umeme wa Masharik,Mwenyezi Mungu,Kanisa la Mwenyezi Mungu
Umeme wa Mashariki | Amri Kumi Za Utawala Ambazo Lazima Zitiiwe Na Watu Waliochaguliwa Na Mungu Katika Enzi Ya Ufalme
1. Mwanadamu hapasi kujitukuza wala kujipa sifa. Anapaswa kumwabudu na kumsifu Mungu.
2. Unapaswa kufanya lolote ambalo lina manufaa kwa kazi ya Mungu, na hupasi kufanya chochote ambacho kitaleta madhara kwa manufaa ya kazi ya Mungu. Unapaswa kutetea jina la Mungu, ushahidi Wake, na kazi ya Mungu.
3. Pesa, vitu vya dunia, na mali yote ambayo yako katika kaya ya Mungu ni sadaka ambazo zinapasa kutolewa na binadamu. Sadaka hizi hazifai kufurahiwa na binadamu yeyote ila kasisi na Mungu Mwenyewe, kwani sadaka zinazotolewa na binadamu ni za kufurahiwa na Mungu, Mungu pekee ndiye Anayeweza kumgawia kasisi sadaka hizi, na hakuna mwengine yeyote aliyehitimu wala kuwa na haki ya kufurahia sehemu yoyote ya sadaka hizi.