Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kuijenga-Safina. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kuijenga-Safina. Onyesha machapisho yote

3/24/2018

Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe I πŸ“–πŸ™‚


Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,Nuhu


    B. Nuhu
🌻🌻🌻🌻******************🌻🌻🌻🌻
    1. Mungu ananuia kuangamiza ulimwengu kwa gharika, anamwagiza Nuhu kuijenga safina.
~~~~~~πŸ””πŸ””πŸ””πŸ””πŸ””πŸ””~~~~~~
    (Mwa 6:9-14) Hivi ndivyo vizazi vya Nuhu: Nuhu alikuwa mtu wa haki na mkamilifu katika vizazi vyake, na Nuhu alitembea pamoja na Mungu. Nuhu akazaa wana watatu wa kiume, Shemu, na Hamu, na Yafethi. Dunia pia ilikuwa potovu mbele za Mungu, dunia ilijaa dhuluma. Mungu akaingalia dunia, na, tazama, ilikuwa imepotoka; maana kila mwenye mwili alikuwa amejiharibia njia yake duniani. Na Mungu akamwambia Nuhu, Mwisho wa kila mwenye mwili umekuja mbele zangu; kwa sababu dunia imejawa na dhuluma kupitia kwao;