Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kutembea-Njia-ya-Petro. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kutembea-Njia-ya-Petro. Onyesha machapisho yote

1/22/2018

30 Kumtumikia Mungu Mtu Anapaswa Kutembea Njia ya Petro

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,Yesu
Kumtumikia Mungu Mtu Anapaswa Kutembea Njia ya Petro
Mwenyezi Mungu alisema, Watu wengi hawawezi kuainisha ni watu gani wana ukweli, watu gani hawana ukweli na watu gani husema mambo yaliyo na ukweli. Unapoulizwa kueleza ni nini maana ya "ukweli," huwezi kueleza kwa wazi. Lakini mara tu mtu anaposema kitu, unasema: “Mtazamo wake ni wa kweli. Maneno ayasemayo yanaonyesha ufahamu wa utendaji uliopatikana kupitia kwa uzoefu.” Unaelewa mara tu unapowasikia wakizungumza. Kwa ninyi hapa mlio wapya, Nikiwauliza ni nini maana ya 'uhalisi,' hamtaweza tu kunijibu, lakini pia hamtaweza kueleza tofauti kati ya mtu anayezungumza uhalisi na mtu anayezungumza mafundisho ya dini.