Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Majaliwa-ya-Binadamu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Majaliwa-ya-Binadamu. Onyesha machapisho yote

1/22/2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | 003 Zingatia Majaliwa ya Binadamu



Kanisa la Mwenyezi Mungu | Wimbo wa Maneno ya Mungu | Zingatia Majaliwa ya Binadamu

I
Mungu awahimiza makabila yote, mataifa na nyanja zote:
Sikizeni sauti Yake, muione kazi Yake;
mzingatie hatima ya wanadamu;
mfanye Mungu Mtakatifu na Mheshimiwakl, Mkuu na wa pekee wakuabudiwa,
ulimwengu wote, na wanadamu, waishi chini ya baraka Yake Mungu,
kama vizazi vya Ibrahimu, walivyoishi na ahadi ya Yehova,
kama viumbe vya Mungu, Adamu na Hawa, walivyoishi bustani Edeni.
Kazi ya Mungu ni kama mawimbi yavumayo hakuna wa kumzuia au kumsimamisha.