Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Msururu-wa-Video-za-Kwaya. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Msururu-wa-Video-za-Kwaya. Onyesha machapisho yote

11/01/2019

"Kwaya ya Kichina Onyesho la 13" Clip 7 Mshuko wa Ufalme wa Mungu | Kwaya za Injili

"Kwaya ya Kichina Onyesho la 13" Clip 7 Mshuko wa Ufalme wa Mungu | Kwaya za Injili

Kitabu cha Ufunuo anasema, “Na mimi Yohana nikauona mji mtakatifu, Yerusalemu mpya, ukija chini kutoka kwa Mungu mbinguni. ... Tazama, hema takatifu la Mungu liko pamoja nao watu, na yeye atakaa pamoja nao, nao watakuwa watu wake. Na yeye Mungu mwenyewe atakuwa pamoja nao, na kuwa Mungu wao” (Ufunuo 21:2-3). Mwenyezi Mungu anasema, “Ufalme Wangu huonekana hadharani duniani. Falme za duniani zimekuwa ufalme—wa Mungu—Wangu. ... Hufurahia kuona watu Wangu, ambao husikia sauti Yangu, na kukusanyika kutoka kila taifa na nchi. Watu wote, uhifadhi Mungu wa kweli daima katika midomo yao, kusifu na kuruka kwa furaha bila kukoma!” (Neno Laonekana katika Mwili). Mwenyezi Mungu, Kristo wa siku za mwisho, apata ufalme Wake na kushuka, watu Wake waliochaguliwa wacheza na kuimba huku wakisherehekea ushindi wa Mungu dhidi ya Shetani, na ufalme wa Mungu wajidhihirisha duniani.

Kujua zaidi:Asili na Maendeleo ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

10/31/2019

"Kwaya ya Kichina Onyesho la 13" Clip 6 Ufanyaji Upya wa Vitu Vyote | Kwaya za Injili

"Kwaya ya Kichina Onyesho la 13" Clip 6 Ufanyaji Upya wa Vitu Vyote | Kwaya za Injili

Mwenyezi Mungu anasema, “Ah, ya kwamba binadamu wote Niliouumba hatimaye umerudiwa na uhai tena katika mwanga, kupata msingi wa kuwepo, na kuacha kupambana katika tope! Ah, Mambo mengi ya uumbaji Ninayoyashikilia mikononi Mwangu! Wanawezaje, kukosa kufanywa upya, kupitia maneno Yangu? Wanawezaje, katika mwanga, kukosa kuendeleza kazi zao? Dunia si kimya na nyamavu tena, mbingu si ya ukiwa na yenye huzuni tena. Mbingu na nchi, bila kutenganishwa na utupu tena, zimeungana kama kitu kimoja, kamwe kutotenganishwa tena” (Neno Laonekana katika Mwili).

Kujua zaidi:Asili na Maendeleo ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

10/30/2019

"Kwaya ya Kichina Onyesho la 13" Clip 5 Maangamizo ya Shetani | Kwaya za Injil

"Kwaya ya Kichina Onyesho la 13" Clip 5 Maangamizo ya Shetani | Kwaya za Injil

Kitabu cha Ufunuo anasema, “Na kwenye paji la uso wake jina liliandikwa, FUMBO, BABELI MKUBWA, MAMA WA MALAYA NA MAKURUHI YA DUNIA. Na nikamwona mwanamke huyo akiwa amelewa kwa damu yao watakatifu, na damu ya mashahidi wake Yesu...” (Ufunuo 17: 5-6). Je, unajua jinsi ambavyo unabii huu hutimizwa? Je, unajua jinsi Mungu atakavyomwadibu yule Kahaba Mkuu wa Kitabu cha Ufunuo?

Zaidi:Asili na Maendeleo ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

10/29/2019

"Kwaya ya Kichina Onyesho la 13" Clip 4 Uamshaji katika Nuru | Kwaya za Injili

"Kwaya ya Kichina Onyesho la 13" Clip 4 Uamshaji katika Nuru | Kwaya za Injili

Mwenyezi Mungu anasema, “Ah, ya kwamba binadamu wote Niliouumba hatimaye umerudiwa na uhai tena katika mwanga, kupata msingi wa kuwepo, na kuacha kupambana katika tope!” (Neno Laonekana katika Mwili).

10/16/2019

"Kwaya ya Kichina Onyesho la 13" Clip 2 Mamlaka ya Neno la Mungu | Kwaya za Injili

"Kwaya ya Kichina Onyesho la 13" Clip 2 Mamlaka ya Neno la Mungu | Kwaya za Injili

Mwenyezi Mungu anasema, “Maneno Yangu ni ukweli, uhai, njia, na upanga mkali ukatao kuwili, ambao unaweza kumshinda Shetani” (Neno Laonekana katika Mwili). Maneno ya Mungu ni kama upanga wenye makali pande mbili, yanayoweza kushinda nguvu zote za uovu. Je, umepitia nguvu na mamlaka ya kutisha ya maneno ya Mungu?”