Kanisa la Mwenyezi Mungu | Upendo wa Mungu | "Kama Nisingeokolewa na Mungu" | Swahili Gospel Music Video
I
Kama nisingeokolewa na Mungu,
ningekuwa bado nazurura ulimwenguni humu,
nikipambana kwa bidii na maumivu katika dhambi;
kila siku huwa ya taabu isiyo na tarajio.
Kama nisingeokolewa na Mungu,
bado ningekuwa nimepondwa chini ya miguu ya shetani,
kama nimenaswa katika dhambi na starehe zake,
bila kujua maisha yangu yangekuwaje.