Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Nyendo. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Nyendo. Onyesha machapisho yote

3/14/2018

πŸ–Ό️πŸ‘Umeme wa Mashariki |《Yule Anayeshikilia Ukuu Juu ya Kila Kitu》

Kuushikilia Ulimwengu, Kuwatunza Viumbe Wote Wanaoishi

 Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,Kanisa
  1. Sayari zisizo na idadi za mbingu ulimwenguni zote hufanya kazi kwa ulinganifu—ni nani huzielekeza? Viumbe vyote hufuata sheria zisizobadilika za maisha—ni nani huamuru sheria hizi?
  2. Mungu asema: “Anaweza kuamuru utendaji mambo katika ulimwengu na kushikilia ukuu juu ya maisha na kifo cha viumbe vyote, na, vilevile, Anaweza kushughulikia viumbe vyote ili viweze kumhudumia Yeye; Anaweza kusimamia kazi zote za milima, mito, na maziwa, na kutawala viumbe vyote ndani yake, na, zaidi ya hayo, Anaweza kutoa kile ambacho kinahitajika na viumbe vyote.