Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Sinema-za-Injili. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Sinema-za-Injili. Onyesha machapisho yote

8/06/2018

Gospel Movie Clip "Kusubiri" (4) - Mwisho ya Wale Ambao Wanapinga Kuja Mara ya Pili kwa Bwana


Je, anawezaje kumuona Bwana akionekana lakini bado anakataa kukubali kuja kwa mara ya pili kwa Bwana? Anawezaje kuwa daima anakesha na kungoja Bwana aje, lakini wakati wa kifo chake anaacha majuto ya maisha? Video hii fupi itakuambia majibu.
Yaliyopendekezwa : Umeme wa Mashariki Hutoka wapi?
Kujua: Kurudi kwa Yesu mara ya pili

6/12/2018

New Swahili Gospel Movie "Mji Utaangushwa" | Hukumu katika Siku za Mwisho


Cheng Huize ni mfanyakazi mwenzi katika kanisa la nyumba huko China. Ameamini katika Bwana kwa miaka mingi, na amefanya kazi kwa ajili ya Bwana kwa shauku thabiti. Yeye hujitwisha majukumu mengi kwa ajili ya kanisa, na ana huruma kwa ndugu zake. Kanisa lake lilipokua na ukiwa zaidi na zaidi kila siku, uovu katika kanisa lake ulionekana mara kwa mara zaidi na zaidi. Mchungaji alipendekeza kwa juhudi kwamba kanisa lilipaswa kuanzisha kiwanda, na akawaongoza wafuasi kwenye njia ya utajiri, na pia kuwashawishi wao kujiunga na Kanisa la Nafsi Tatu ili kwamba wangeweza kutegemea msaada toka kwa serikali ya kikomunisti ya China. Hii ilisababisha mjadala mkali kujitokeza.